View attachment 910170
Ndizi ni tunda lenye vitamin C, B6, Potassium na Manganese.
75% ya ndizi ni maji, hivyo usipokuwa na uhakika wa maji salama ulaji wa ndizi unaweza kuokoa maisha yako.
Ukila ndizi wakati unakunywa pombe au unapoamka baada ya pombe husaidia kuzuia na kutibu hangover.
Ndizi ina aina ya protein ambayo mwili unauwezo wa kuibadilisha na kuwa melatonin. Hukufanya u relax na kuwa mwenye furaha.
Ndizi zina nutrients na energy inayokufanya uweze kufanya mazoezi kwa dakika 90 sukari ya ndizi ni monosaccharide hutumika instantly.
Wanasayansi wamegundua wanawake wanaokula ndizi wakiwa wanatafuta mtoto wana nafasi kubwa ya kujifungua mtoto wa kiume.
Ndizi mbivu hupunguza athari za magonjwa ya moyo.
Mtu asikudanye kuwa ukila ndizi nyingi utaji overdose na Potassium. Overdose hutokea baada ya kula ndizi 480!