Faida za kula ndizi mbivu

Afadhali maana huu uchumi mgumu siku hizi jioni napiga ndizi mbili na machungwa mawili yaani 500, nalala zangu nikadhani najitesa kumbe najiokoa maana pesa ya kununua msosi na maji kila siku naona taabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…