Grim Langdon
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 774
- 2,262
Wewe kama mimi! Hata nikiwa nyumbani sivai kufuri, ukiona nimevaa kufuri ujue naenda safari ya kupanda gari au napokea mshaharaNi nzuri sana, hata ukiwa peke yako nyumbani au na mwandani wako tu, punguza kuvaa nguo kama unaenda vitani. Kuwa naked, lala naked kipindi ambacho si cha baridi, utaenjoy sana.
Chief kama wewe fisi, simba, mbweha lala uchi, hujakatazwa.Unalala sehemu ambazo wewe ni sungura halafu kuna fisi lazima uliwe. Badili mtazamo, kuwa simba wanaokuzunguka wawe fisi otherwise ni suala la muda tu fisi watajua yupo sungura humu anaogopa kuliwa na anajilinda kwa kuvaa manguo.
Boss, mm nalala na mke wangu ndani ya nyumba sina sababu ya kuwaza lolote juu ya kuingiliwa.Chief kama wewe fisi, simba, mbweha lala uchi, hujakatazwa.
Umesoma nilichoandika? ni kauli ya umoja kuwakilisha mtazamo wangu mimi kama mimi. Anika kende zako wazi ukilala ndugu, nchi huru hii.
Naanza leo...Kwanini unalala uchi ?
1. Kulala bila nguo kunafanya mwili wako uwe relax pamoja na celi za ngozi kupumua haswa.
2. Kulala uchi kwa asilimia 80% huwa wanawahi kupata usingizi zaidi kwa haraka.
3. Kama unajambo lako la imani, ushirikina ulogi, kulala uchi kunachochea jambo lako kutimizika kwa haraka
4. Kulala uchi kwa baadhi ya watu hupata maluelue, ya ndoto n.k.
5. Mchawi anapologa, hupendelea zaidi watu waliovalia nguo tofauti na mtu yupo uchi sababu kumsafirisha mtu aliyeuchi kichawi ni ngumu kama aliyevalia nguo_sababu kuvua nguo inafanya usionekane kwa urahisi koo yako na ndio sababu mchawi ili usimwone sharti avue nguo na sio vaa nguo.
USSR
Maisha mafupi mno kuchukulia kila kitu kimuktadha.Boss, mm nalala na mke wangu ndani ya nyumba sina sababu ya kuwaza lolote juu ya kuingiliwa.
Wewe umesema vijana wa hovyo wanaweza kukuingilia sasa kwa kuwa upo katika mazingira hatarishi, badili mtazamo wao ndo wakuogope wewe esp ukiwa uchi na si vice versa. Hiyo ndo point yangu. Si kwa nia mbaya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hunilazi uchi hata kwa bakora.
Ghafla kutokee moto ujikute upo nje na korodani zinaning'inia.
Hapo achilia mbali vijana wa hovyo, unaweza jikuta unaamka na ute ute makalioni.
Kwa wadada tu lakini😁Ni nzuri sana, hata ukiwa peke yako nyumbani au na mwandani wako tu, punguza kuvaa nguo kama unaenda vitani. Kuwa naked, lala naked kipindi ambacho si cha baridi, utaenjoy sana.
Hii ni kumwalika popobawa kwa lazima.Kwanini unalala uchi ?
1. Kulala bila nguo kunafanya mwili wako uwe relax pamoja na celi za ngozi kupumua haswa.
2. Kulala uchi kwa asilimia 80% huwa wanawahi kupata usingizi zaidi kwa haraka.
3. Kama unajambo lako la imani, ushirikina ulogi, kulala uchi kunachochea jambo lako kutimizika kwa haraka
4. Kulala uchi kwa baadhi ya watu hupata maluelue, ya ndoto n.k.
5. Mchawi anapologa, hupendelea zaidi watu waliovalia nguo tofauti na mtu yupo uchi sababu kumsafirisha mtu aliyeuchi kichawi ni ngumu kama aliyevalia nguo_sababu kuvua nguo inafanya usionekane kwa urahisi koo yako na ndio sababu mchawi ili usimwone sharti avue nguo na sio vaa nguo.
USSR
Popobawa jeKwanini unalala uchi ?

Unaishi ghetto na masela?Chief kama wewe fisi, simba, mbweha lala uchi, hujakatazwa.
Umesoma nilichoandika? ni kauli ya umoja kuwakilisha mtazamo wangu mimi kama mimi. Anika kende zako wazi ukilala ndugu, nchi huru hii.
Hahaha zimefika boss.Msalimie mkeo.