Faida za kulala uchi

Faida za kulala uchi

Unalala sehemu ambazo wewe ni sungura halafu kuna fisi lazima uliwe. Badili mtazamo, kuwa simba wanaokuzunguka wawe fisi otherwise ni suala la muda tu fisi watajua yupo sungura humu anaogopa kuliwa na anajilinda kwa kuvaa manguo.
Chief kama wewe fisi, simba, mbweha lala uchi, hujakatazwa.

Umesoma nilichoandika? ni kauli ya umoja kuwakilisha mtazamo wangu mimi kama mimi. Anika kende zako wazi ukilala ndugu, nchi huru hii.
 
Boss, mm nalala na mke wangu ndani ya nyumba sina sababu ya kuwaza lolote juu ya kuingiliwa.

Wewe umesema vijana wa hovyo wanaweza kukuingilia sasa kwa kuwa upo katika mazingira hatarishi, badili mtazamo wao ndo wakuogope wewe esp ukiwa uchi na si vice versa. Hiyo ndo point yangu. Si kwa nia mbaya.
 
Ngumu kumeza hizi, maisha ya walio wengi bongo ni bahati nasibu, watu wanapumzika tu Wala hawalali, muda mwingi utakuta mtu Hana amani kabisa na Wala hajui kwanini, muda wowote Kuna jambo litamchota.
 
Kwanini unalala uchi ?
1. Kulala bila nguo kunafanya mwili wako uwe relax pamoja na celi za ngozi kupumua haswa.

2. Kulala uchi kwa asilimia 80% huwa wanawahi kupata usingizi zaidi kwa haraka.

3. Kama unajambo lako la imani, ushirikina ulogi, kulala uchi kunachochea jambo lako kutimizika kwa haraka

4. Kulala uchi kwa baadhi ya watu hupata maluelue, ya ndoto n.k.

5. Mchawi anapologa, hupendelea zaidi watu waliovalia nguo tofauti na mtu yupo uchi sababu kumsafirisha mtu aliyeuchi kichawi ni ngumu kama aliyevalia nguo_sababu kuvua nguo inafanya usionekane kwa urahisi koo yako na ndio sababu mchawi ili usimwone sharti avue nguo na sio vaa nguo.

USSR
Naanza leo...
 
Boss, mm nalala na mke wangu ndani ya nyumba sina sababu ya kuwaza lolote juu ya kuingiliwa.

Wewe umesema vijana wa hovyo wanaweza kukuingilia sasa kwa kuwa upo katika mazingira hatarishi, badili mtazamo wao ndo wakuogope wewe esp ukiwa uchi na si vice versa. Hiyo ndo point yangu. Si kwa nia mbaya.
Maisha mafupi mno kuchukulia kila kitu kimuktadha.

Anyways uwe na siku njema. Msalimie mkeo.
 
Boya nini! Mwanaume unalalaje uchi? Yani mi nikiwa jambazi nikivamia kwako nikikukuta mwanaume umelala uchi naachana na shughuli ya kuchukua mali nakutembezea kichapo hadi ukate moto
 
Kwanini unalala uchi ?
1. Kulala bila nguo kunafanya mwili wako uwe relax pamoja na celi za ngozi kupumua haswa.

2. Kulala uchi kwa asilimia 80% huwa wanawahi kupata usingizi zaidi kwa haraka.

3. Kama unajambo lako la imani, ushirikina ulogi, kulala uchi kunachochea jambo lako kutimizika kwa haraka

4. Kulala uchi kwa baadhi ya watu hupata maluelue, ya ndoto n.k.

5. Mchawi anapologa, hupendelea zaidi watu waliovalia nguo tofauti na mtu yupo uchi sababu kumsafirisha mtu aliyeuchi kichawi ni ngumu kama aliyevalia nguo_sababu kuvua nguo inafanya usionekane kwa urahisi koo yako na ndio sababu mchawi ili usimwone sharti avue nguo na sio vaa nguo.

USSR
Hii ni kumwalika popobawa kwa lazima.
 
Popobawa je
 
Back
Top Bottom