Baada ya mhe rais wa JMT kutangaza kuwa gongo in kinywaji safi isipokuwa inapaswa kupimwa ili kujua kiwango cha alcohol kilichomo, sasa nawaletea faida za kunywa gongo. Faida hizi wanywa bia hawazipati.
1. Gongo huchoma cholesterol (lehemu) mwilini, ndiyo maana wanywa gongo hawapati vitambi na kuanza kuhangaika navyo. Angalia wababa/wamama wanywa gongo wote wako safi. Lakini wababa na wamama wanywa bia wameharibu shepu za miili yao kwa kuota vitambi.
2. Gongo huua minyoo. Ukiwa unakunywa gongo huwezi kamwe kusumbuliwa na minyoo.
3. Gongo hujenga kinga imara dhidi ya magonjwa mbalimbali ikiwemo malaria. Wanywa gongo hung'atwa na mbu mwanzo mwisho lkn kamwe hawapatwi na malaria.
Kunywa gongo kwa afya ya mwili wako.