Faida za kunywa gongo hizi hapa. Ukinywa bia huzipati ng'o!

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Baada ya mhe rais wa JMT kutangaza kuwa gongo in kinywaji safi isipokuwa inapaswa kupimwa ili kujua kiwango cha alcohol kilichomo, sasa nawaletea faida za kunywa gongo. Faida hizi wanywa bia hawazipati.

1. Gongo huchoma cholesterol (lehemu) mwilini, ndiyo maana wanywa gongo hawapati vitambi na kuanza kuhangaika navyo. Angalia wababa/wamama wanywa gongo wote wako safi. Lakini wababa na wamama wanywa bia wameharibu shepu za miili yao kwa kuota vitambi.

2. Gongo huua minyoo. Ukiwa unakunywa gongo huwezi kamwe kusumbuliwa na minyoo.

3. Gongo hujenga kinga imara dhidi ya magonjwa mbalimbali ikiwemo malaria. Wanywa gongo hung'atwa na mbu mwanzo mwisho lkn kamwe hawapatwi na malaria.

Kunywa gongo kwa afya ya mwili wako.
 
Hata YUTI YAI kiboko yake gongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Baada ya mhe rais wa JMT kutangaza kuwa gongo in kinywaji safi isipokuwa inapaswa kupimwa ili kujua kiwango cha alcohol kilichomo, sasa nawaletea faida za kunywa gongo. Faida hizi wanywa bia hawazipati.

1. Gongo huchoma cholesterol (lehemu) mwilini, ndiyo maana wanywa gongo hawapati vitambi na kuanza kuhangaika navyo. Angalia wababa/wamama wanywa gongo wote wako safi. Lakini wababa na wamama wanywa bia wameharibu shepu za miili yao kwa kuota vitambi.

2. Gongo huua minyoo. Ukiwa unakunywa gongo huwezi kamwe kusumbuliwa na minyoo.

3. Gongo hujenga kinga imara dhidi ya magonjwa mbalimbali ikiwemo malaria. Wanywa gongo hung'atwa na mbu mwanzo mwisho lkn kamwe hawapatwi na malaria.

Kunywa gongo kwa afya ya mwili wako.
hata mafua hupati, alafu haimalizi pesa kwani glas moja au mbili tayari ushakuwa piere
 
Wanachama wa machozi ya simba watajulikana hapa.
 
Hah hah h hah sidhani mkuu Ila nadhani ni dongo kwa mwanae jiji la wazaramo.

Kwa akili ya kawaida Slaa kamuuzia wazo Magufuli kwa malipo ya ubalozi na kufutiwa "dhambi" zote.Na funny enough, wapo pamoja hukohuko!
 
Watanzania mnaokula mirungi nendeni Kenya na Wakenya mnaokula chang'aa njooni Tanzania .
 
Hataka kikoozi sugu na mafua, muwasho wa koo. Na wengine wamekunywa kwa ajili ya pumu. Hapa simaanishi kunywa birauli nzima. Ndi kidogo kwa afya
 
Back
Top Bottom