The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
1.Unamuoa wakati ameshapevuka kiakili tayari (Hana utoto utoto).
2.Atalea vizuri watoto mtakao zaa kwa sababu ameshalea mtoto wa kwanza kwa hiyo anao uzoefu wa kulea.
3.Anajua thamani ya kupendwa kwa sababu alishawahi kutendwa ama kuishi na mwanaume.
4.Hatatamani kukupoteza kwa sababu alishawahi kumpoteza ampendaye huko nyuma.
5.Atajilinda sana asikukosee kwa sababu ameshajifunza kupitia makosa yalio mtokea huko nyuma.
6.Akikukosea atakuwa mwepesi wa kuomba msamaha kwa sababu anajua hasara ya kutokuomba msamaha.
7.Anajua thamani ya kuitwa mke wa fulani, kwa sababu aliwahi kuipata fursa hiyo akaipoteza, au huyo mume fulani alimtumia vibaya.
8.Anajua umuhimu wa kuwa mvumilivu, kwa sababu ameshajifunza na kujua kwamba kila mwanaume ana mapungufu yake hakuna mkamilifu.
9.Una kuwa na uhakika kabisaa kuwa huyo sio Mgumba.
✅ZINGATIA✅
1.Hawa watu wanafaa na wana haki ya kuolewa na kuwa na ndoa zao
2.Kwani hata mungu hutoa nafasi ya pili wakati mtu anamwendea na kumuomba msamaha.
3.Siyo kila mwanamke alie zalia nyumbani ni Malaya
4.Wengine walibakwa, Wengine walitapeliwa na wanaume vicheche.
5.Wengine walifiwa na wenza wao
6.Wengine kwa sababu ya ugumu wa maisha wakalazimika kuzaa wakiwa nyumbani
7.Usimdharau mwanamke kwa hali yoyote aliyo kuwa nayo.
8.Mheshimu mpe thamani yake na mengineo yawezekanayo