Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joined 2025 hizoMh! hivi jamiiforums sikuhizi ina maroboti nini..?
Labda aliyefiwa na Mme ila sio aliyezalishwa na kuachwa. Kimsingi single mother kumuoa ni kujitwisha zigo la misumari1.Unamuoa wakati ameshapevuka kiakili tayari (Hana utoto utoto).
2.Atalea vizuri watoto mtakao zaa kwa sababu ameshalea mtoto wa kwanza kwa hiyo anao uzoefu wa kulea.
3.Anajua thamani ya kupendwa kwa sababu alishawahi kutendwa ama kuishi na mwanaume.
4.Hatatamani kukupoteza kwa sababu alishawahi kumpoteza ampendaye huko nyuma.
5.Atajilinda sana asikukosee kwa sababu ameshajifunza kupitia makosa yalio mtokea huko nyuma.
6.Akikukosea atakuwa mwepesi wa kuomba msamaha kwa sababu anajua hasara ya kutokuomba msamaha.
7.Anajua thamani ya kuitwa mke wa fulani, kwa sababu aliwahi kuipata fursa hiyo akaipoteza, au huyo mume fulani alimtumia vibaya.
8.Anajua umuhimu wa kuwa mvumilivu, kwa sababu ameshajifunza na kujua kwamba kila mwanaume ana mapungufu yake hakuna mkamilifu.
9.Una kuwa na uhakika kabisaa kuwa huyo sio Mgumba.
โ ZINGATIAโ
1.Hawa watu wanafaa na wana haki ya kuolewa na kuwa na ndoa zao
2.Kwani hata mungu hutoa nafasi ya pili wakati mtu anamwendea na kumuomba msamaha.
3.Siyo kila mwanamke alie zalia nyumbani ni Malaya
4.Wengine walibakwa, Wengine walitapeliwa na wanaume vicheche.
5.Wengine walifiwa na wenza wao
6.Wengine kwa sababu ya ugumu wa maisha wakalazimika kuzaa wakiwa nyumbani
7.Usimdharau mwanamke kwa hali yoyote aliyo kuwa nayo.
8.Mheshimu mpe thamani yake na mengineo yawezekan
mwanamke hapevukagi akili, usitudanganye mkuu1.Unamuoa wakati ameshapevuka kiakili tayari (Hana utoto utoto).
2.Atalea vizuri watoto mtakao zaa kwa sababu ameshalea mtoto wa kwanza kwa hiyo anao uzoefu wa kulea.
3.Anajua thamani ya kupendwa kwa sababu alishawahi kutendwa ama kuishi na mwanaume.
4.Hatatamani kukupoteza kwa sababu alishawahi kumpoteza ampendaye huko nyuma.
5.Atajilinda sana asikukosee kwa sababu ameshajifunza kupitia makosa yalio mtokea huko nyuma.
6.Akikukosea atakuwa mwepesi wa kuomba msamaha kwa sababu anajua hasara ya kutokuomba msamaha.
7.Anajua thamani ya kuitwa mke wa fulani, kwa sababu aliwahi kuipata fursa hiyo akaipoteza, au huyo mume fulani alimtumia vibaya.
8.Anajua umuhimu wa kuwa mvumilivu, kwa sababu ameshajifunza na kujua kwamba kila mwanaume ana mapungufu yake hakuna mkamilifu.
9.Una kuwa na uhakika kabisaa kuwa huyo sio Mgumba.
โ ZINGATIAโ
1.Hawa watu wanafaa na wana haki ya kuolewa na kuwa na ndoa zao
2.Kwani hata mungu hutoa nafasi ya pili wakati mtu anamwendea na kumuomba msamaha.
3.Siyo kila mwanamke alie zalia nyumbani ni Malaya
4.Wengine walibakwa, Wengine walitapeliwa na wanaume vicheche.
5.Wengine walifiwa na wenza wao
6.Wengine kwa sababu ya ugumu wa maisha wakalazimika kuzaa wakiwa nyumbani
7.Usimdharau mwanamke kwa hali yoyote aliyo kuwa nayo.
8.Mheshimu mpe thamani yake na mengineo yawezekanayo
Atakuwa mchepuko wake ukishamuoaMakubwaa,aliyemzalisha kaburi lake liko wapi!?????
Huo upuuzi ulioandikwa hapo kwenye uzi wewe haujakustua?๐คKwanini mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Atakuwa mchepuko wake ukishamuoa
Mwalimu wako wa Marketing alikuwa mbobezi hasa. Hakikisha PM yako iko wazi maana sipati picha mkanyagano wa singo mazazi huko.1.Unamuoa wakati ameshapevuka kiakili tayari (Hana utoto utoto).
2.Atalea vizuri watoto mtakao zaa kwa sababu ameshalea mtoto wa kwanza kwa hiyo anao uzoefu wa kulea.
3.Anajua thamani ya kupendwa kwa sababu alishawahi kutendwa ama kuishi na mwanaume.
4.Hatatamani kukupoteza kwa sababu alishawahi kumpoteza ampendaye huko nyuma.
5.Atajilinda sana asikukosee kwa sababu ameshajifunza kupitia makosa yalio mtokea huko nyuma.
6.Akikukosea atakuwa mwepesi wa kuomba msamaha kwa sababu anajua hasara ya kutokuomba msamaha.
7.Anajua thamani ya kuitwa mke wa fulani, kwa sababu aliwahi kuipata fursa hiyo akaipoteza, au huyo mume fulani alimtumia vibaya.
8.Anajua umuhimu wa kuwa mvumilivu, kwa sababu ameshajifunza na kujua kwamba kila mwanaume ana mapungufu yake hakuna mkamilifu.
9.Una kuwa na uhakika kabisaa kuwa huyo sio Mgumba.
โ ZINGATIAโ
1.Hawa watu wanafaa na wana haki ya kuolewa na kuwa na ndoa zao
2.Kwani hata mungu hutoa nafasi ya pili wakati mtu anamwendea na kumuomba msamaha.
3.Siyo kila mwanamke alie zalia nyumbani ni Malaya
4.Wengine walibakwa, Wengine walitapeliwa na wanaume vicheche.
5.Wengine walifiwa na wenza wao
6.Wengine kwa sababu ya ugumu wa maisha wakalazimika kuzaa wakiwa nyumbani
7.Usimdharau mwanamke kwa hali yoyote aliyo kuwa nayo.
8.Mheshimu mpe thamani yake na mengineo yawezekanayo
Vizuri kama ukimzidi kipato ila akikuzidi ndio utajua kuwa hujui,na hii usiombe itokee tu ghafla umeshuka yeye akapanda.....1.Unamuoa wakati ameshapevuka kiakili tayari (Hana utoto utoto).
2.Atalea vizuri watoto mtakao zaa kwa sababu ameshalea mtoto wa kwanza kwa hiyo anao uzoefu wa kulea.
3.Anajua thamani ya kupendwa kwa sababu alishawahi kutendwa ama kuishi na mwanaume.
4.Hatatamani kukupoteza kwa sababu alishawahi kumpoteza ampendaye huko nyuma.
5.Atajilinda sana asikukosee kwa sababu ameshajifunza kupitia makosa yalio mtokea huko nyuma.
6.Akikukosea atakuwa mwepesi wa kuomba msamaha kwa sababu anajua hasara ya kutokuomba msamaha.
7.Anajua thamani ya kuitwa mke wa fulani, kwa sababu aliwahi kuipata fursa hiyo akaipoteza, au huyo mume fulani alimtumia vibaya.
8.Anajua umuhimu wa kuwa mvumilivu, kwa sababu ameshajifunza na kujua kwamba kila mwanaume ana mapungufu yake hakuna mkamilifu.
9.Una kuwa na uhakika kabisaa kuwa huyo sio Mgumba.
โ ZINGATIAโ
1.Hawa watu wanafaa na wana haki ya kuolewa na kuwa na ndoa zao
2.Kwani hata mungu hutoa nafasi ya pili wakati mtu anamwendea na kumuomba msamaha.
3.Siyo kila mwanamke alie zalia nyumbani ni Malaya
4.Wengine walibakwa, Wengine walitapeliwa na wanaume vicheche.
5.Wengine walifiwa na wenza wao
6.Wengine kwa sababu ya ugumu wa maisha wakalazimika kuzaa wakiwa nyumbani
7.Usimdharau mwanamke kwa hali yoyote aliyo kuwa nayo.
8.Mheshimu mpe thamani yake na mengineo yawezekanayo
Wizira wamesema kupeleka umeme Kanda ya Kaskazini umeme mwingi unapotea kabla ya kufika uko, lakini ukiangalia mikoa ya mipakani Mfano Mikoa ya Kanda ya ziwa ni mbali lakini umeme kutoka Dar haupotei.Hayo ya nke mwenye ntoto tunakuachia wewe, sisi tunajiuliza:
kwanini tununue umeme ili hali tunao umeme hadi wa kuuza nje
Single mother sio wa kumwamini kabisa utajuta mda ushaenda. Wana pretend sana1.Unamuoa wakati ameshapevuka kiakili tayari (Hana utoto utoto).
2.Atalea vizuri watoto mtakao zaa kwa sababu ameshalea mtoto wa kwanza kwa hiyo anao uzoefu wa kulea.
3.Anajua thamani ya kupendwa kwa sababu alishawahi kutendwa ama kuishi na mwanaume.
4.Hatatamani kukupoteza kwa sababu alishawahi kumpoteza ampendaye huko nyuma.
5.Atajilinda sana asikukosee kwa sababu ameshajifunza kupitia makosa yalio mtokea huko nyuma.
6.Akikukosea atakuwa mwepesi wa kuomba msamaha kwa sababu anajua hasara ya kutokuomba msamaha.
7.Anajua thamani ya kuitwa mke wa fulani, kwa sababu aliwahi kuipata fursa hiyo akaipoteza, au huyo mume fulani alimtumia vibaya.
8.Anajua umuhimu wa kuwa mvumilivu, kwa sababu ameshajifunza na kujua kwamba kila mwanaume ana mapungufu yake hakuna mkamilifu.
9.Una kuwa na uhakika kabisaa kuwa huyo sio Mgumba.
โ ZINGATIAโ
1.Hawa watu wanafaa na wana haki ya kuolewa na kuwa na ndoa zao
2.Kwani hata mungu hutoa nafasi ya pili wakati mtu anamwendea na kumuomba msamaha.
3.Siyo kila mwanamke alie zalia nyumbani ni Malaya
4.Wengine walibakwa, Wengine walitapeliwa na wanaume vicheche.
5.Wengine walifiwa na wenza wao
6.Wengine kwa sababu ya ugumu wa maisha wakalazimika kuzaa wakiwa nyumbani
7.Usimdharau mwanamke kwa hali yoyote aliyo kuwa nayo.
8.Mheshimu mpe thamani yake na mengineo yawezekanayo
kwahiyo kutoka Dar kwenda kigoma huko umeme haupotei, ila kwenda Kilimanjaro unapoteaWizira wamesema kupeleka umeme Kanda ya Kaskazini umeme mwingi unapotea kabla ya kufika uko, lakini ukiangalia mikoa ya mipakani Mfano Mikoa ya Kanda ya ziwa ni mbali lakini umeme kutoka Dar haupotei.
sio kweli kuwa mnakuwa wanaume wawili bali ukweli ni kuwa aliyemzalisha ndo mumewe.Yule wa pili ni kijakazi wa mume halali ambaye ni yule aliyemzalisha.mwanamke hapevukagi akili, usitudanganye mkuu
nasisitiza usioe mke mwenye umemkuta na mtoto, ukioa jua tu kwamba mpo waume wawili wa huyo mke
Ni upumbavu kumpa thamani mtu ambaye yy mwenyewe hajipi thamani.Safi sana inaonekana unaijua vizuri thamani ya mwanamke
๐๐pole sana mkuu, inaonekana umeumizwa sana na mapenziNi upumbavu kumpa thamani mtu ambaye yy mwenyewe hajipi thamani.
Hata ww kama huna bikra na hujaolewa hujui thamani yako,hivyo huna haki ya kudai thamani kutoka kwa watu wengine.