iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 440
- 1,086
natumai mu wazima wa afya,
Nimekuja hapa kuwashauri wale jamaa wa KATAA NDOA FC nadhani watakuwa bado hawajafikia ile situation ya kushindwa kucontrol upweke, unaweza ukawa na kila kitu kwenye maisha yako, lakn kama Hujaoa na hauna mtoto ndani ni sawa na bure tu,
Namaanisha utakua unaishi kama mtu mfu, maana unakua kama hauna effect yotote hapa duniani,
Mwanaume ili uwe kamili unatakiwa uwe na mke ndani wa kukuliwaza kwa changamoto mbali mbali utakazokua unapitia huko kwenye mitikasi zako za kutafta maisha .
NI HIVO TU, WA KUNIELEWA NA ANIELEWE