Faida za kupitia JKT kwa wahitimu


umepitia jeshi? unachokiongelea ndio hasaa lengo la jeshi kuondoa fikra hizo kwa kila anayepitia jeshi. Wanajeshi wa kambi gani hawapendi kutembea??/
 
faida pekee mnayoipata ni kubadilishwa akili na kuwa wazalendo zaidi tu. na la pili ni kutumia silaha. kuhusu ukakamavu, hamna lolote, training ya miezi mitatu au sita huwezi kujiita wewe mkakamavu. sikia dogo, ukija huku mtaani, usione kwasababu wewe ulicheza ile combat martial art ukafikiri utaweza kumzibiti kila mtu, kuna watu huku mtaani wana uwezo kuliko wewe wa kupigana na ukakamavu lakini hawajapitia jkt. mfano wake, mimi niko trained kwenye karate kwa miaka miwili mfululizo, na miezi sita ya yaolin Kong fu. mkanda wangu ni mweusi. amini usiamini, kama hautakuja kwangu na bunduki, ukija mkavu na mikono yako nitakupiga kama mtoto mdogo na hiyo training yako ya miezi mitatu ya combat utamlaumu mwalimu aliyekufundisha. kitu pekee nitakachokuogopa ni kama utakuwa na mtutu, hapo nafyata mkia, ila kama hauna, hauna lolote ndugu.

pili,ukipita saa 12 asubuhi pale manzese utakuta kuna vijana wengi darajani wafupi kwa wembamba wanafanya mazoezi,wale ni wacheza karate wa msikitini, mwalimu wao ni ponda. ponda ni mchaza karate mzuri sana na ni mwalimu/sensei. wale vijana usiwadharau, watakutoa knock out. ninachojaribu kuongea hapa ni kwamba, watu wengi hasa wanajeshi/wajeda na ninyi mliopita jkt mkija mtaani mnajiona ni wakakamavu sana na kwamba raia yeyote akiwaletea za kuleta mtamchapa hadharani kwa ukakamavu wenu, amini usiamini, kuna watu hapa hata mkija wajeda watatu yeye mmoja atawapiga kama watoto wadogo. umeelewa?
 

uwe na uhakika acha kukisia
 

aliye kwambia unafundishwa kula kwenye sufuria ni nani..
 

mambo ya kujidai mbabe ni tabia ya mtu na misifa na ni ukosef wa nidham, pil siku hiz hamna kupigana hayo ni mambo ya kizaman
 
nani kakudanganya komando ni wanajesh wa akiba, sasa ujue komando anatangulia vitan hata mwaka mmoja kabla ya vita kuanza

tatizo ujanielewa sijasema komando hawezi kutangulia vitani,vita ni formula,huwezi kuacha kikosi dhaifu,ukatanguliza kilicho bora,sababu humjui vizuri adui yako mfano japo si hai sana utangulize jwtz,then waje jkt kisha finishing mgambo. hao wa mwaka mmoja kabla ya vita huwa ni spies.
 
aliye kwambia unafundishwa kula kwenye sufuria ni nani..

mimi mtu wa kawaida tu hujaewa(nadhani unafanya makusudi) je maneno ya yesu,mtume,mao,pythogras,plato nk ungewaelewa kweli?,kama unafunzwa kukabiliana na hali ngumu ambazo zimetengenezwa makusudi na sio kwa sababu ya nature,na kuna uwezekano wa kuzibadili,ila ukafundishwa utiifu wa kupokea amri ili umudu hiyo hali you are just "danny the dog!".
 
nyie ndo mnaopigwa always hivi unaijua combat karate au unaropoka tu ili usifiwe? we hute
 
Viongozi tulionao sasa,takribani wote wamepitia JKT lakini walio wengi hawana uzalendo,why?
Wengi hawana hofu ya Mungu mioyoni mwao!!
 
Viongozi tulionao sasa,takribani wote wamepitia JKT lakini walio wengi hawana uzalendo,why?
Wengi hawana hofu ya Mungu mioyoni mwao!!

Amen, umeongea Point kubwa sana mtu wewe.
 
Viongozi tulionao sasa,takribani wote wamepitia JKT lakini walio wengi hawana uzalendo,why?
Wengi hawana hofu ya Mungu mioyoni mwao!!

we unasema kupitia jkt wakati watu wanaenda kanisan kila siku na bado sio waaminifu kwa Mungu wala wanadam sembuse JKT
 
Naomba tuambiane ukweli kwani uzalendo katika nchi ya kibepari kuna umuhimu gani wa kwenda jkt pili ni nchi gani katika nchi ambazo sio za kijamaa kama Tanzania inapeleka vijana wake jkt na pia hizo zinazopeleka watu jkt mfano china korea kaskazini na cuba tunawezaje kuzifananisha na tanzania kiuongozi na suala la uzalendo wa nchi kwa serekali na viongozi wake na pia kwanini baadhi ya viongozi kama sio wote wa sereksli iliyopo madarakani chini ya chama cha mapinduzi sio wazalendo kwa vitendo vyao vya kuuza rasilimali zetu kwa wawekezaji wa kizungu halafu kama ni suala la kukosa ajira mbona wakulima kupitia kilimo ambacho ndio mwajiri mkubwa bado ni maskini na kila siku wanalalamika halafu kuchukua sehemu tu ya vijana hususani wasomi kwenda kujifunza uzalendo inaweza kupunguza machafuko nchini halafu tujiulize ni vijana wangapi wanaoishia darasa la saba na kidato cha nne na sita ambao hawaendi jkt hawa vip?na je watoto wa vigogo ambao hawasomi kwenye shule zetu na pia hawategemei ajira serekalini zaidi ya zile zinazotokana na siasa ambazo hazina limitation kuzipata kwa sababu sheria waliyotunga inahusu wale wa kuajiriwa tu kwamba jkt itakuwa moja ya vigezo so please watanzania tusiwe mashabiki wa mambo ambayo yatatufanya tusahau kutetea haki zetu ambazo wanasiasa wanazifinyanga makusudi halafu wanakuja na mipango hewa ya kutudidimiza kwa kutupeleka jkt na pia ni kama angalizo kwa wale waliopitia jkt wanaojiunga na vyuo vikuu nyie mnajisifu tu ooooh wazalendo ngoja mkacheleweshewe mikopo ndo mtajua maana ya migomo na maandamano na huo uzalendo NB:hakuna kiongozi wa siasa aliyeitwa kutuongoza bali ni viherehere vyao tu so mtu ambaye anaona kuwaongoza watanzania ni kazi arudi nyumbani kwake akalime na awape nafasi wengine zaidi ya hapo ni uchu wa madaraka na tamaa ya mali kwani uongozi ni wito!!!!
 

Nakubaliana na wewe mkuu,mimi pia naipinga hyo JKT haina tija wala sio chuo cha maadili kama wanavyofikiri,waliopitia huko zamani tena ndo ilikuwa JKT kweli wanatusumbua sana leo madarakani,watfute mbinu nyingine ya kuulazimisha uzalendo.Au ndo hawataki watu wakuwapa changamoto?
 
Hakuna cha jkt wala kgt apa, alieitoa hii idea ya jkt yupowrong na niupotezaj wa fedha tu hakuna lolote zaid ya wiz tu. Napenda niwaambie, nimekaa nawashkaj kibao waliotoka huko jkt na niwakawaida xana nawako chuo xaiv na niwaoga vlevle, no uzalendo nawakinizingua nawagonga......nihv ubish,uzalendo, kujiamn, kuwa physically fit ni asili ya mtu & no otherwise xo serkal inapoteza fedha bure ambazo zingeweza kutumika kwenye mambo ya msingi na c hayo ya mifereje....am out
 
mwenyewe nimepita jkt.2mejifunza ku2mia claha kama sar,smg,g3 na lmg.lakn weng we2 tangia 2zibebe jexhin ha2takuja kuzigusa mpaka 2nakufa.na huo wanaosema ukakamavu mie hta cjauona maana kwa watoto wa vggn routematch ni kawaida xana.kulima,kuvuna ndo cha mtoto xana na wengine bado hta hvyo walikuwa wanadoj huku wakizunguka na daftari za C labda uvumilivu na uzalendo.hela aliyomia kila kuruti c chini ya million 1 na 2lienda wanafunzi 20000 kwa awamu ya kwanza na awamu ya pili wameenda walimu wa ngazi ya cheti na diploma na baadhi ya form six walioahirisha mwaka idadi yao cjajua ila hawapungui 15000 na bajet ya kila m1 kwa miez 3 c chin ya milion 1.jumla hela hii ni zaid ya bilion 35.je hii hela icngetoxha kusomexha wanachuo wote.lakn hii serikal imelipa kipaumbele jambo liclo na maana.je kuna umuhimu gan kumpeleka m2 jexhin na akifaulu uxhindwe kumpeleka chuoni???? nackitika xana wanafunzi kukosa mkopo na wamechagua priority faculty kama Bsc with education huku mkisema shule ze2 zna walimu wachache wa sayansi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…