PHILIPP DONIE
Member
- Jul 2, 2013
- 61
- 15
Nitakujibu vizuri endapo utanipa faida tano za kujuwa kutumia silaha zote hizo ulizotaja kwa mwalimu au mwanafunzi wa chuo kikuu. Hii hela iliyotumika kuwapeleka wanafunzi hawa huko je huoni kama ingeweza kurumika katika kuleta faida kubwa zaifi ya hiyo? Hebu tuangalie tena je! Kupelekwa huko jeahini ndio kuwa wazalendo? Hamjaona jeshi likiasi??? Ukakamavu mnaousema pia siuoni kwani wanajeshi wa sasa hawana lolote hata kilometa kadhaa hawapendi kutembea na hata wakiwa na kazi nyingine ni bure tuu. Kama una mtazamo wa kuku kuangalia mwisho unapo kula basi tazama miaka 6 baadae utapata Jibu.
umepitia jeshi? unachokiongelea ndio hasaa lengo la jeshi kuondoa fikra hizo kwa kila anayepitia jeshi. Wanajeshi wa kambi gani hawapendi kutembea??/