Faida za kupitia JKT kwa wahitimu

Ukakamavu gan wa miez 3 ni dhahir kua hzo craha walzojfunza hawata tumia mitaan labda hyo combat kwa kujilinda na vbaka
 
SAR haina tofauti na gobole kila ukipga lazima ukoki mkuu

mkuu ucdanganye umma.kukok kila unapopiga ni kwa risasi za barid tu na hii ni kwa silaha zote hta SMG na G3.SAR ukikok mara moja kukiwa na risasi za moto unapiga mpaka risasi zote kumi ziishe ila sema haiwez kupiga bust(mfululizo ka smg) inapiga mojamoja.lakn co kukok kila unapopiga!!
 
natamani hawa wanaoiponda jkt waende halaf warud wawaelimishe mwenzio, yaan raha sana ukifungua moyo na ukanywa maji mengi moyo ukaelea

mm n mmoja wa waliopita jexh 833kj oljoro.faida zpo kdogo xana kama ku2mia claha,mk up.lakn c muhimu xana kuliko kuliko hzo hela zinge2mika kuwaxomexha waliokoxa mikopo.kuna faida gan ya kujua ku2mia silaha na hku umepata chuo umexhindwa kwenda sababu huna mkopo.serikal angalie vipaumbele vya taifa kwanza.
 
mradi huo hakuna lolote hapo wanaumia wengne wanafaidika wengne... vijana 28000 wanaojiunga vyuoni hawana mkopo mwaka huu.. hzo hela za kuhudumia watu elf20 kwa miez mitatu si zingepunguza hyo idadi ya watakaokosa mikopo?? asikwambie mtu wazazi wako ndo walimu wako hayo mafunzo ya uvumilivu,, utiifu yote yapo kwa wazazi.. hzo silaha utaztumia wapi?? labda iombwe vita ya kirafiki na nch jirani....... suala la uzalendo inategemea na nchi imekufanyia nini huwez kuniambia utaipenda nchi ambayo unakandamizwa kila siku hata ungepewa mafunzo kwa miaka 10!!!!
 
Naona ilikuea njia moja ya kuwapa wajeshi fursa ya kutembea na dada zenu tuu. Maana ilifika hatua dada zenu kufanyiwa hadi vyooni. Au hamkujua hili??? Ukaka mavu hata nyumbani unaweza kuupata ukitaka. Unaweza ukawa umerudi mlokole jina tuu.

Sasa ni meamini Duniani kuna watu na pia viatu .Nilijua janja ya Wakoloni kuzivuruga mbinu za Tanzania kuelekea mapinduzi ya kiuchumi kwa kuwatumia badhi ya Wajinga wachumia tumbo , kumbae mpaka sasa mijitu kama wale ipo mfano wewe .Lipumbavu sana wewe au utakuwa siyo Mwafrika NGANGAFU wewe , sasa hivi Watanzania na Afrika kwa ujumla tumebadilika tunataka makosa yote yaliyotokea enzi flani zinasahihishwa na kuyaweka mambo sawa yaani vijana wajielewe , waelewe umuhimu wao kwa Taifa , Wajue umuhimu wa uzalendo , Ujasili wasiendeshwe na Mikoloni , Wajui mbinu mbalimbali za kupambana na mazingira magumu ya kimaisha , kijamii , kiuchumi , kisiasa , na nk.
Kwa hiyo achana na ujinga wa kudanganya eti Dada zenu wanafanyiwa chooni akina nani mkuda mkubwa na Jangili la maendeleo . Jua viojana wote wataenda JKT hata muhonge , na mkipitia hata kwa wajinga wachache mtazinguliwa tu Mikoloni mambo leo nyie.
 

teh teh teh tulikuwa wote mi nilikuwa koi ya mabingwa F koy, vip embakasi ulikuwa unaudhuria kwel ama ulikuwa doja
 

kweli aise nini.nani.izo ela nani.wangeziingiza kwenye nn.i.nan ya mikopo.watu tusome mm.nimekosa mkopo nimeichukiaa ad jkt
 
faida zingeonekana kama vijana wote wanaotoka jkt wenye sifa za kwenda vyuo tungepata mikopo but kwakua wamepoteza billions of money jkt na kuxhindwa kutupa mikopo mm ntagoma sana na xina cha uzalendo wala nn kama serikal imeshindwa kunionyesha uzalendo mm.ntawaonyesha vp??? tena izo silaha wametufundixha wawe makin.xana zixije kuwageuka siku NYAMA ZA MBAVU
 
alikua anakaa mtoni.kwenye mchanga mweusi

teh teh teh, huyu alikuwa ndo (DO) Doja's ofisa nn? Dakika za mwisho vijana walikuwa wanaingia dukan kuchukua mikate na soda then wanashuka porin wakat huo wenzao wapo shamba dunia
 
kweli aise nini.nani.izo ela nani.wangeziingiza kwenye nn.i.nan ya mikopo.watu tusome mm.nimekosa mkopo nimeichukiaa ad jkt

haa haa haa huyu mzee nilikuwa namkubal sana pamoja na Rsm alitufanyia mishe tukachek kombe la dunia, vp unamkumbuka mzee wa kurut uelekeo main gate unaingia general ofis unadumbukia embakasi tukutane K1, bado mpo?
 

wewe unasema nn nani nn ww kuja hapa nan ww nin nan nyama za mbaavuu
 

Naona umekasirika kweli kweli, salama lakini?
 
haa haa haa huyu mzee nilikuwa namkubal sana pamoja na Rsm alitufanyia mishe tukachek kombe la dunia, vp unamkumbuka mzee wa kurut uelekeo main gate unaingia general ofis unadumbukia embakasi tukutane K1, bado mpo?

urasssaaaaaaa mabio au mzee wa eagles yule
 
teh teh teh, huyu alikuwa ndo (DO) Doja's ofisa nn? Dakika za mwisho vijana walikuwa wanaingia dukan kuchukua mikate na soda then wanashuka porin wakat huo wenzao wapo shamba dunia

mm nilikua nakaa umasaini uko sehemu flani.iv panaitwa kwa rasi na jamaa mmoja wa F coy anaitwa frank shirima kama unamjua
 
wewe unasema nn nani nn ww kuja hapa nan ww nin nan nyama za mbaavuu

tatizo wamebana izo.nin.nan izo za helsb wanataka watu tusi nini.chuo.tubaki mtaani uku tuki.nani U SEE
 
mm nilikua nakaa umasaini uko sehemu flani.iv panaitwa kwa rasi na jamaa mmoja wa F coy anaitwa frank shirima kama unamjua

nampata tulikuwa nae platun moja alikuwa doja kinoma na alikuwa jamaa yangu kinoma kila j'mos nilikuwa nampiga para, duh mmetisha wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…