Faida za kusoma D.I.T-Computer Engineering

The_Emperor

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
871
Reaction score
125
Wakuu,nimechaguliwa kujiunga na D.I.T-Computer Engineering!Ninaomba mnipe faida za kusoma pale tofauti na vyuo vingine vya technology!
 
Natamani ningeelewa swali lako? Are asking for faida? You can't be serious.
 
The_Emperor
mkuu mimi nakushauri kama ujajipanga KUSOMA uctie timu kabisa pale...yaani pale ni full kusoma na co kuigiza kusoma....Faida utaziona ukifanikiwa kumaliza hiyo miaka mitatu ya mikikimikiki...na hasara utaiona pale utakaposhindwa kumaliza hiyo miaka mi3..
 
Kama unataka elimu hiyo nenda kasome na kama unataka watu wajue unasoma usipoteze muda wako. Umenisoma?
 
We unasomaje makitu magumu hayo badili nenda kasome sociology!
 
Wakuu,nimechaguliwa kujiunga na D.I.T-Computer Engineering!Ninaomba mnipe faida za kusoma pale tofauti na vyuo vingine vya technology!

Sifahamu vizuri kuhusiana na Computer Engineering DIT, lakini naweza sema kwamba DIT is one of the best Technology institution Tanzania.. Ni mahali ambapo kwa kweli vijana hupikika, kama kweli uko determined..

Swala la kuwa fiti katika career yako limegawanyika katika maeneo kadhaa...

1. Juhudi yako.. Juhudi yako ndo itakyokuinua bro, no matter wat
2. Conducive Environment.. Hili nalo ni la msingi pia ili likurahisishie kuelewa vitu..

Kwa habari nilizonazo, DIT ni wazuri sana tena kuna maeneo mengine wanawazidi UD linapokuja kwenye swala la vitendo.. Kwa sehemu kubwa UD unakuta wanafunzi wanakua theoreticians zaidi kuliko kwenye vitendo.. Simaanishi kwamba UD sio pazuri, lakini DIT ni sehemu nzuri sana kama una malengo na determination..

Computer Engineering ni eneo hot kabisa bro, we soma na wala usikatishwe tamaa.. Cha msingi inabidi vitu uvielewe usiwe mbambaishaji.. Hao wanaosema umepotea, wao ndo wamepotea hawajielewi.. Huwezi lazimisha mtu abadilishe career kwa sababu zake binafsi.. Kila mtu huchagua kitu anachoona kina manufaa kwake..

Ila tatizo lilopo nchini kwetu ni kwamba, kwa asilimia kubwa hatupendi kujituma.. Na asilimia kubwa watu wanasoma ili wapate ajira, hili ni kosa na hautakaa uwe mtaalamu kama unasoma ili uajiriwe, utaishia kuchakachua ili uajiriwe..

Mie ni Computer scientist, ila niliwahi kuambiwa na jamaa yangu kuwa nimepotea na akanambia nisome BCom.. Tena ilikua kipindi nilipokua najiunga na chuo. At the end of the day, nimekuja ona kuwa yeye ndo alikua amepotea tena vibaya mno.. Maana hili eneo ndo linanifaa zaidi kuliko alilolisema.. Though pia Bcom ni eneo hot pia, lakini siwezi kusoma vitu vilivyo out of my dream just for the sake of kuniambia nimepotea..


 

ahsante sana kwa kunipa moyo ndugu yangu.mungu azidi kukubariki.
 

vp EGM anaweza somea Computer science?
 
vp EGM anaweza somea Computer science?

Inawezekana.. Kuna rafiki angu alikua PCB, akaingia Computer science na alisha graduate!! So, kwa EGM ni possible kabisa, ingawa sina mfano halisi wa mtu aliekua EGM na kwenda Computer science
 
vp EGM anaweza somea Computer science?

EGM anaweza soma computer science ila kila chuo kina taratibu zake, mfano IFM, UDOM, UNIVERSITY OF BAGAMOYO, SAUT na vyuo vingine vingi wanachukua wanafunzi waliosoma EGM ila UDSM wanachukua PCM mostly na pia kuna umuhimu kwa mtu kuwa na knowledge ya fizikia ukitaka masomo ya kompyuta na ni ile ya o-level.
 
vp egm anaweza somea computer science?
utajifunza vitu vingi sana,kifupi ni cross cut course ya electrical,mech,electronics na software,ni ngumu ila ukijipanga utafanya vizuri!
 
utajifunza vitu vingi sana,kifupi ni cross cut course ya electrical,mech,electronics na software,ni ngumu ila ukijipanga utafanya vizuri!

hzo ni kozi za computer au ni another kozi ambazo EGM anaweza kusomea ?
 
Wakuu,nimechaguliwa kujiunga na D.I.T-Computer Engineering!Ninaomba mnipe faida za kusoma pale tofauti na vyuo vingine vya technology!

dit.....ni chuo bola sana hasa katika swala la ufundishaji......na kutoa graduates wazuli sana hasa katika fani za mechanical,electrical,telecommunications,laboratory technology na civil rngineering........ila kuhusu computer engineering dit.....sio pazuli.....ni heri ubadili vacany kwani......jamaaa hawafundishi hata certification
moja.....kama ccna,oracle,microsoft certification, hata computer lab......uzushi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…