The_Emperor
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 871
- 125
Wakuu,nimechaguliwa kujiunga na D.I.T-Computer Engineering!Ninaomba mnipe faida za kusoma pale tofauti na vyuo vingine vya technology!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani ningeelewa swali lako? Are asking for faida? You can't be serious.
Natamani ningeelewa swali lako? Are asking for faida? You can't be serious.
Wakuu,nimechaguliwa kujiunga na D.I.T-Computer Engineering!Ninaomba mnipe faida za kusoma pale tofauti na vyuo vingine vya technology!
We unasomaje makitu magumu hayo badili nenda kasome sociology!
Hiyo degree program ni chaka bayaaa!!!!
Kama unataka elimu hiyo nenda kasome na kama unataka watu wajue unasoma usipoteze muda wako. Umenisoma?
Wakuu,nimechaguliwa kujiunga na D.I.T-Computer Engineering!Ninaomba mnipe faida za kusoma pale tofauti na vyuo vingine vya technology!
We unasomaje makitu magumu hayo badili nenda kasome sociology!
sifahamu vizuri kuhusiana na computer engineering dit, lakini naweza sema kwamba dit is one of the best technology institution tanzania.. Ni mahali ambapo kwa kweli vijana hupikika, kama kweli uko determined..
Swala la kuwa fiti katika career yako limegawanyika katika maeneo kadhaa...
1. Juhudi yako.. Juhudi yako ndo itakyokuinua bro, no matter wat
2. Conducive environment.. Hili nalo ni la msingi pia ili likurahisishie kuelewa vitu..
Kwa habari nilizonazo, dit ni wazuri sana tena kuna maeneo mengine wanawazidi ud linapokuja kwenye swala la vitendo.. Kwa sehemu kubwa ud unakuta wanafunzi wanakua theoreticians zaidi kuliko kwenye vitendo.. Simaanishi kwamba ud sio pazuri, lakini dit ni sehemu nzuri sana kama una malengo na determination..
Computer engineering ni eneo hot kabisa bro, we soma na wala usikatishwe tamaa.. Cha msingi inabidi vitu uvielewe usiwe mbambaishaji.. Hao wanaosema umepotea, wao ndo wamepotea hawajielewi.. Huwezi lazimisha mtu abadilishe career kwa sababu zake binafsi.. Kila mtu huchagua kitu anachoona kina manufaa kwake..
Ila tatizo lilopo nchini kwetu ni kwamba, kwa asilimia kubwa hatupendi kujituma.. Na asilimia kubwa watu wanasoma ili wapate ajira, hili ni kosa na hautakaa uwe mtaalamu kama unasoma ili uajiriwe, utaishia kuchakachua ili uajiriwe..
Mie ni computer scientist, ila niliwahi kuambiwa na jamaa yangu kuwa nimepotea na akanambia nisome bcom.. Tena ilikua kipindi nilipokua najiunga na chuo. At the end of the day, nimekuja ona kuwa yeye ndo alikua amepotea tena vibaya mno.. Maana hili eneo ndo linanifaa zaidi kuliko alilolisema.. Though pia bcom ni eneo hot pia, lakini siwezi kusoma vitu vilivyo out of my dream just for the sake of kuniambia nimepotea..
Sifahamu vizuri kuhusiana na Computer Engineering DIT, lakini naweza sema kwamba DIT is one of the best Technology institution Tanzania.. Ni mahali ambapo kwa kweli vijana hupikika, kama kweli uko determined..
Swala la kuwa fiti katika career yako limegawanyika katika maeneo kadhaa...
1. Juhudi yako.. Juhudi yako ndo itakyokuinua bro, no matter wat
2. Conducive Environment.. Hili nalo ni la msingi pia ili likurahisishie kuelewa vitu..
Kwa habari nilizonazo, DIT ni wazuri sana tena kuna maeneo mengine wanawazidi UD linapokuja kwenye swala la vitendo.. Kwa sehemu kubwa UD unakuta wanafunzi wanakua theoreticians zaidi kuliko kwenye vitendo.. Simaanishi kwamba UD sio pazuri, lakini DIT ni sehemu nzuri sana kama una malengo na determination..
Computer Engineering ni eneo hot kabisa bro, we soma na wala usikatishwe tamaa.. Cha msingi inabidi vitu uvielewe usiwe mbambaishaji.. Hao wanaosema umepotea, wao ndo wamepotea hawajielewi.. Huwezi lazimisha mtu abadilishe career kwa sababu zake binafsi.. Kila mtu huchagua kitu anachoona kina manufaa kwake..
Ila tatizo lilopo nchini kwetu ni kwamba, kwa asilimia kubwa hatupendi kujituma.. Na asilimia kubwa watu wanasoma ili wapate ajira, hili ni kosa na hautakaa uwe mtaalamu kama unasoma ili uajiriwe, utaishia kuchakachua ili uajiriwe..
Mie ni Computer scientist, ila niliwahi kuambiwa na jamaa yangu kuwa nimepotea na akanambia nisome BCom.. Tena ilikua kipindi nilipokua najiunga na chuo. At the end of the day, nimekuja ona kuwa yeye ndo alikua amepotea tena vibaya mno.. Maana hili eneo ndo linanifaa zaidi kuliko alilolisema.. Though pia Bcom ni eneo hot pia, lakini siwezi kusoma vitu vilivyo out of my dream just for the sake of kuniambia nimepotea..
vp EGM anaweza somea Computer science?
vp EGM anaweza somea Computer science?
utajifunza vitu vingi sana,kifupi ni cross cut course ya electrical,mech,electronics na software,ni ngumu ila ukijipanga utafanya vizuri!vp egm anaweza somea computer science?
utajifunza vitu vingi sana,kifupi ni cross cut course ya electrical,mech,electronics na software,ni ngumu ila ukijipanga utafanya vizuri!
Wakuu,nimechaguliwa kujiunga na D.I.T-Computer Engineering!Ninaomba mnipe faida za kusoma pale tofauti na vyuo vingine vya technology!