Mfalme ajaye
New Member
- Sep 17, 2026
- 1
- 1
Bongo bhana! unakuta mtu anachagua punyeto kuwa mpango endelevu1.Hakuna usumbufu 2.hakuna stress 3.upo huru 5.hauta pata majukumu 6.hakuna maradhi 7.unaish bila mawazo
Mwanamke kuwa kwenye mahusiano ni rahisi kuliko mwanaume, kwahiyo wanaume wengi ni walemavušKitendo cha kutokuwa kwenye mahusiano tayari ni ulemavu
Master je?1.Hakuna usumbufu
2.hakuna stress
3.upo huru
5.hauta pata majukumu
6.hakuna maradhi
7.unaish bila mawazo
Mwanamke kuwa kwenye mahusiano ni rahisi kuliko mwanaume, kwahiyo wanaume wengi ni walemavuš
Nikiwa sipo kwenye mahusiano nilitamani kuwa na mwanamke, ndipo niliposhuhudia mwanamke mmoja akiwa na wanaume 3, mimi aliniambia nafasi zimejaašSio vice versa is true? Wanaume huwa nahisi wapo kwenye mahusiano muda wote na wanatafuta zaidi
KUpauka?, hebu leta hasara nyingine bhana hii haina mantiki.Hasara ni nyingi kuliko faida, unakuta mtu kapauka uso Hauna nuru kabisa
Mbona hao wachache Sana, siku hizi Wanawake ni Malaya kuliko maelezo, hata ukimwona katulia dini kwa Sana, ujue Wanaume ni Kuanzia 5 na kuendelea na wote Wana MLA na wanampa helaNikiwa sipo kwenye mahusiano nilitamani kuwa na mwanamke, ndipo niliposhuhudia mwanamke mmoja akiwa na wanaume 3, mimi aliniambia nafasi zimejaaš
Hasara sasa:
1. Utakosa faraja na upendo pale utakapo hitaji
2. Utakuwa na urahibu wa dada poa kitu ambacho ni hatari kiafya na kiroho
3. Utakuwa memba mzuri wa chaputa utapelekea kiungo chako cha uzazi kuwa legelege
4. Utapoteza kujiamini mbele ya mwanamke, maana utakuwa huna ujasiri.
5. Kisaikolojia hautakuwa sawa hasa utakapokuwa unatambulishwa mashemeji utajiona haujakamilika
then unakuwa unashauri watu waache ku punyeto......,,,, zitunze zitachipua1.Hakuna usumbufu
2.hakuna stress
3.upo huru
5.hauta pata majukumu
6.hakuna maradhi
7.unaish bila mawazo
Kwani hao wenye wapenzi na Malaya hawajipaki mafuta na mkorogo?Hasara ni nyingi kuliko faida, unakuta mtu kapauka uso Hauna nuru kabisa
Hutahitaji mtoto? Ujue anapatikana kwa mahusiano.1.Hakuna usumbufu
2.hakuna stress
3.upo huru
5.hauta pata majukumu
6.hakuna maradhi
7.unaish bila mawazo
Kiungo kuwa legelege nayo ni hasara?Hasara sasa:
1. Utakosa faraja na upendo pale utakapo hitaji
2. Utakuwa na urahibu wa dada poa kitu ambacho ni hatari kiafya na kiroho
3. Utakuwa memba mzuri wa chaputa utapelekea kiungo chako cha uzazi kuwa legelege
4. Utapoteza kujiamini mbele ya mwanamke, maana utakuwa huna ujasiri.
5. Kisaikolojia hautakuwa sawa hasa utakapokuwa unatambulishwa mashemeji utajiona haujakamilika