Faida za kutokuwa na mahusiono ya kimapenzi hapa dunia

Mkuu unaujua upweke? loneliness? Kuna muda mambo yanatupeleka puta unatamani mtu WA hata kukupa kumbato Tu na kukwambia it will be ok
 
Sio vice versa is true? Wanaume huwa nahisi wapo kwenye mahusiano muda wote na wanatafuta zaidi
Nikiwa sipo kwenye mahusiano nilitamani kuwa na mwanamke, ndipo niliposhuhudia mwanamke mmoja akiwa na wanaume 3, mimi aliniambia nafasi zimejaa😀
 
Mbona hao wachache Sana, siku hizi Wanawake ni Malaya kuliko maelezo, hata ukimwona katulia dini kwa Sana, ujue Wanaume ni Kuanzia 5 na kuendelea na wote Wana MLA na wanampa hela
 
Hasara sasa:
1. Utakosa faraja na upendo pale utakapo hitaji

2. Utakuwa na urahibu wa dada poa kitu ambacho ni hatari kiafya na kiroho

3. Utakuwa memba mzuri wa chaputa utapelekea kiungo chako cha uzazi kuwa legelege

4. Utapoteza kujiamini mbele ya mwanamke, maana utakuwa huna ujasiri.

5. Kisaikolojia hautakuwa sawa hasa utakapokuwa unatambulishwa mashemeji utajiona haujakamilika

Huyo ni mm mkuuu
 
Kiungo kuwa legelege nayo ni hasara?
 
Back
Top Bottom