Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu na ww pia utakuwa unawangaHuyu jamaa atakua anawanga mida hii na simu
Wazigua ndo hamzivai???Ndo maana hatuzivai. Mimi niligutuka mapema kabisa
Naona nyamaFaida ya kutokuvaa chupi![emoji116][emoji53][emoji53][emoji53]
Uzi gani unaoongelea faida za kuvaa chupiNipo safarini Dar... Nimepata hotel moja mitaa ya Kinondoni.. Tangu saa saba usiku kuna vurugu zinaendelea chumba cha pili... Mwanamke kavua zote kasoro chupi... Anasema hata iweje hiyo havui na kama jamaa anataka basi atamsogezea tu kidogo aingize lakini chupi hatavua
Nimejikuta tu natabasamu baada ya kuwaza ni chupi ya aina gani hiyo ya kusogezewa tuu? Au ni zile chupi kamba? Unajua zamani hizi hazikuwepo.. Zamani zilikuwepo zile ambazo ukitaka uone makalio ni lazima uzishushe... (Sio makalio tu kumbuka) lakini hizi za siku hizi unaanza kuona kalio na ukitaka kuona chupi basi shurti ufunue kalio.. Yaani ulibabatue kwa mikono miwili... Pengine huyo demu kavaa ya jinsi hii.. Wenyewe wanaita g-string... No offense... Ukitaka tu kinavutwa pembeni hakuna kuvua
Tukio hili limenifanya nitafakari faida na hasara za kuvaa chupi... Nikagundua kuna post imeshazungumzia hasara za kutovaa chupi nikasema ngoja mimi sasa niandike faida zake
1.haina faida kwakuwa hata uvae ama usivae hakuna atayejua mpaka yule atakayekufunua ama utakayemfinulia
2. Kiuchumi chupi haina faida yoyote zaidi ya kuongeza gharama na matumizi ya ziada
3. Kiafya usipofua vizuri ama ukivaa chupi chafu kama usiponuka basi itakuletea magonjwa... Vile vile kuna baadhi ya material husababisha mzio wa ngozi, kuwashwa na harara... Chupi inapobana sana hasa kwa wanaume huzuia uume kukua katika kiwango kinachoyakiwa... baadhi ya chupi husababisha uume kupinda (VIP) na pia husababisha vibamia
4. Kijamii... Hapa kuna watu huchelewa kufanya yao kutokana na hizi chupi.. Yaani kuvua tu mpaka muweke kikao.. Hii inaweza kusababisha kukosa hamu ya tendo na hatimaye uhaba wa watoto
Kulikuwa na aina za chupi maarufu kama VIP zilikuwa na tabia ya kukatika katikati na kupanda hadi tumboni.. Watu wameumbuka sana hapa. Hali hii imewatia simanzi wengi... Lakini pia kama si mzoefu wa kuvaa unaweza kwenda kujisaidia bila kuvua... Kuna mmasai iliwahi kumtokea hii.. Baada ya kumaliza anaangalia chini haoni kitu kumbe zigo liko kwenye chupi.... Unapokuwa na tumbo la kuhara pia chupi sio vazi zuri sana
5. Kiafya namba mbili ni kwamba unapoyaachia maungo yako yakawa huru bila kubanwa na chupi hasa usiku basi hewa hupenya vizuri mwilini na mzunguko wa damu huenda vizuri
6. Kijamii namba mbili... Haishauriwi wanandoa ama wapenzi kulala na chupi hii husaidia sana kutiana hamu na kwenda moja kwa moja eneo la tukio bila vikwazo vingi... Ngozi kwa ngozi zinapogusana bila kitenganisho katikati msisimko huongezeka... Kuna wakati magomvi kwenye mahusiano husababishwa na kulala huku umevaa chupi...
Kwahiyo ndugu zangu hili vazi ni kitu cha ziada tu mwilini kisicho tija yoyote...... Naona chumba cha pili ni mambo yamekuwa pouwaaaaa... Kinachosikika sasa ni KWICHI KWICHI hatari... [emoji298] [emoji23] [emoji298] [emoji23] [emoji298] [emoji621] [emoji621] [emoji621]... Kama umeivaa saa hii vuaa... Tyupa kuree.. Its time for morning glory.... View attachment 690044
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mateso yalikuwa mengi usiku ulikuwa mrefu sanaHakuna kitu kibaya kama kulala na njaa huku unasikia pilau linanukia kwa jirani. Sipati picha hali yako ilikuwaje wakati jirani yako anamechika
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kilichojiri upande wangu!!? [emoji31] [emoji35] [emoji51] [emoji37]Ukichaa ni pale unapo sikia kwichi kwichi chumba cha pili alafu simu yako unaiweka kwenye silence mode na unajisogeza karibu na ukuta unao kutanisha chumba jilani na chako hili kupata zaidi kinachojili chumbani umo.hichi ndo alichokifanya mshana
Bila shaka mshana ujamalizia stori,,tunaomba full movie ilivo kuwa kama aligoma kuvua chupi..na baadae akavua nini kilijili na wewe ulikuwa kwenye hali gani au ulitoka chapchap kudaka wa buku3 3
Za kamba zinakera zinavyopita kwenye mstari wa equatorMi sipendi kuvas chupi,hizo za kamba ndio siwezi kabisa
Kwann wakati mitaa hiyo wapo mpaka wa buku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mateso yalikuwa mengi usiku ulikuwa mrefu sana