Faida za kutovaa nguo ya ndani

Faida za kutovaa nguo ya ndani

Kwa mtazamo wangu mimi
KUVAA CHUPI AU KUTOKUVAA CHUPI HAINA HASARA WALA FAIDA

Kwasababu moja au nyingine,kwa mfano kwa mwanamke akikaa vibaya tu chupi ikaonekana,utasikia akiambiwa kaa vizuri upo uchi na asipo vaa chupi akakaa vibaya akaonekana ataambiwa kakaa uchi
Kwa wanaume ukijisahau tu kufunga zip yako ya suruali chupi ikaonekana itaambiwa Oyaa rekebisha hio suruali yako upo uchi,kama hukuvaa chupi utaambiwa upo uchi na kwanini usivae chupi?
Sasa hapo faida au hasara ya kuvaa ama kutovaa chupi ipo wapi??
Kaka Mshana naomba unisaidie kunifahamisha juu ya hili swala[emoji1321]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Uchi ni chupi... Na chupi ni uchi... Weird phenomenon
 
Ukichaa ni pale unapo sikia kwichi kwichi chumba cha pili alafu simu yako unaiweka kwenye silence mode na unajisogeza karibu na ukuta unao kutanisha chumba jilani na chako hili kupata zaidi kinachojili chumbani umo.hichi ndo alichokifanya mshana
Bila shaka mshana ujamalizia stori,,tunaomba full movie ilivo kuwa kama aligoma kuvua chupi..na baadae akavua nini kilijili na wewe ulikuwa kwenye hali gani au ulitoka chapchap kudaka wa buku3 3
Ww jamaa ni mfwatiliaji sana
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Uchi ni chupi... Na chupi ni uchi... Weird phenomenon

Daaahh,,broo
Hayo maneno ndio yanaandikwa pale ktk mlango wa thieta au nimeyafananisha broo,
Kama hili neno phenomenon kwa vibogoyo ni aghlabu saana kulitamka.
Broo tulianza kwa lugha yetu sasa ungenifahamisha tu kwa lugha yetu
Sisi wengine hadi tulewe konyagi kwanza ndio tunasoma hio lugha[emoji1321]
 
Back
Top Bottom