Philosodilia
Senior Member
- Jan 25, 2018
- 105
- 61
mshana jr unaijuwa vizuri Kino lakini? usikute hao majamaa (mtu na demu) walishakusoma kuwa wewe ni kama sie (wa kuja) na kutaka kukuingiza mkenge kwa kukutia nyege mbadala. Yaani kuongea kwa nguvu na usikie kisha ushindwe kuvumilia ukaombe gegedo kwao kwa kisingizo kuwa ulipotea chumba. Kino na maeneo ya Mwananyamala guest nyingi kule huu ndo mchezo wao....watu wanakuingiza mkeng wa nyege ukitoka eti ujifanye unatembea ili wakuone uwaombe papuchi ndipo wanakumaliza. Watakubaka, utaporwa kila kitu kisha unafungwa ndania ya gunia na kutoswa baharini.
Hii ni aina mpya ya WATU WASIOJULIKANA.