Faida za kuvaa Soksi

Faida za kuvaa Soksi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
1622008213384.png

1.KUZUIA MAGONJWA YA NGOZI MIGUUNI.
Tumia sekunde tatu tu kuvaa soksi na ujikinge na maradhi haya ya fungus na bacteria, kama sio mpenzi was soksi nashauri ufikirie tena maamuzi yako ya kutovaa soksi.

2.EPUKA HARUFU MBAYA YA MIGUU
Image result for atletes foot
Kwa kweli hii ni kero kwako na wanaokuzunguka.Usipovaa soksi jasho lote la miguu litaenda kwenye viatu na ivo viatu kutoa harufu.Soksi hunyonya lile jasho na huzuia harufu iyo. Aya basi tushtuke aibu hii ya nini katika karne ya watanashati sisi.Tuvae soksi na kubadili kila siku.

3.LAINISHA NGOZI YA MIGUU YA YAKO
Nani hapendi miguu soft?? wadada kutwa kusugua miguu saloon.Simple ukirud nyumban kama sakafu ni ngumu vaa soksi zako nyepesi safi miguu iwe laini.Baadhi ya viatu pia vina surface ngumu kwa chini (wakaka) ukiweka soksi zako safi hamna maneno.

4.KUPUNGUZA MAUMIVU MIGUUNI
Hii hasa kwa watoto wadogo ..tuwazoeze mapema kuvaa soksi.Mtoto anatembea ndani Mara akanyage maji mara vitu vya ncha Kali....Pia kuna viatu ukivaa bila soksi lazima upate maumivu na kupata zile sugu nyeusi.

5.KUPATA JOTO NYAKATI ZA BARIDI
Wale was mikoa iliyo na baridi kwa sasa naamini tuna soksi za kutosha za miguuni na mikono.Kama kuna sehemu inayongoza kutoa joto ni miguuni na mikononi.Basi vaa soksi ili kuzuia joto lisipotee.

6.MVUTO
Ili sio geni, mi mtu akivaa viatu bila soksi kwa kweli napunguza maksi za utanashati...wengine wanasema kuna viatu vya kutovaa soksi. .hakuna kitu kama icho kuna soksi ndogo ambazo hazionekani kwa juu zimejaa tele madukani tutafte.Ebu mtu kavaa kiatu chake safi akiweka na soksi safi inaonekana mvuto lazima uwepo....Nani hapendi kuvutia??basi sote tunapenda tuvae soksi
 
Jamani tukiwa safari ndefu napo tuangalie. Kuvaa viatu vya wazi itapendeza. Viatu vya kudumbukiza halafu vikute miguu ni ya kibabe haswa,kunuka kwake hakuna mfano. Usiombe safari ndefu kama vile Dar hadi Kigoma ukae na kifaa kinatema miguu. Binafsi, huwa navaa hata ndala,kuepuka ubabe.
 
Sikumbuki mara ya mwisho kuvaa soksi ilikuwa ni mwaka gani !!! Itanibidi nikanunue soksi nivae ili nione utofauti wake.
 
Siku hizi kuna katabia kameibuka ka Vijana kuvaa viatu bila soksi,uzi huu unahusu.
 
Halafu wakivua viatu hiyo harufu ya mafangas yao mpaka kichefuchefu. Mie soksi ni lazima kuvaa kama navaa sneakers ama drssing shoes. Na navaa mara moja na kufua. Sio kuna wanaovaa wiki nzima soksi bila kufua!! Mpaka zinagandia kwenye unyayo. Na hapo sijazungumzia boxer. Kuna ambao hawafui hata wiki. Disgusting!! Gentlemen, tuweni wasafi
 
View attachment 1797842
1.KUZUIA MAGONJWA YA NGOZI MIGUUNI.
Tumia sekunde tatu tu kuvaa soksi na ujikinge na maradhi haya ya fungus na bacteria, kama sio mpenzi was soksi nashauri ufikirie tena maamuzi yako ya kutovaa soksi.

2.EPUKA HARUFU MBAYA YA MIGUU
Image result for atletes foot
Kwa kweli hii ni kero kwako na wanaokuzunguka.Usipovaa soksi jasho lote la miguu litaenda kwenye viatu na ivo viatu kutoa harufu.Soksi hunyonya lile jasho na huzuia harufu iyo. Aya basi tushtuke aibu hii ya nini katika karne ya watanashati sisi.Tuvae soksi na kubadili kila siku.

3.LAINISHA NGOZI YA MIGUU YA YAKO
Nani hapendi miguu soft?? wadada kutwa kusugua miguu saloon.Simple ukirud nyumban kama sakafu ni ngumu vaa soksi zako nyepesi safi miguu iwe laini.Baadhi ya viatu pia vina surface ngumu kwa chini (wakaka) ukiweka soksi zako safi hamna maneno.

4.KUPUNGUZA MAUMIVU MIGUUNI
Hii hasa kwa watoto wadogo ..tuwazoeze mapema kuvaa soksi.Mtoto anatembea ndani Mara akanyage maji mara vitu vya ncha Kali....Pia kuna viatu ukivaa bila soksi lazima upate maumivu na kupata zile sugu nyeusi.

5.KUPATA JOTO NYAKATI ZA BARIDI
Wale was mikoa iliyo na baridi kwa sasa naamini tuna soksi za kutosha za miguuni na mikono.Kama kuna sehemu inayongoza kutoa joto ni miguuni na mikononi.Basi vaa soksi ili kuzuia joto lisipotee.

6.MVUTO
Ili sio geni, mi mtu akivaa viatu bila soksi kwa kweli napunguza maksi za utanashati...wengine wanasema kuna viatu vya kutovaa soksi. .hakuna kitu kama icho kuna soksi ndogo ambazo hazionekani kwa juu zimejaa tele madukani tutafte.Ebu mtu kavaa kiatu chake safi akiweka na soksi safi inaonekana mvuto lazima uwepo....Nani hapendi kuvutia??basi sote tunapenda tuvae soksi
 
Halafu wakivua viatu hiyo harufu ya mafangas yao mpaka kichefuchefu. Mie soksi ni lazima kuvaa kama navaa sneakers ama drssing shoes. Na navaa mara moja na kufua. Sio kuna wanaovaa wiki nzima soksi bila kufua!! Mpaka zinagandia kwenye unyayo. Na hapo sijazungumzia boxer. Kuna ambao hawafui hata wiki. Disgusting!! Gentlemen, tuweni wasafi
Kabisa Mkuu, Gentle men tujitahidi usafi.
 
View attachment 1797842
1.KUZUIA MAGONJWA YA NGOZI MIGUUNI.
Tumia sekunde tatu tu kuvaa soksi na ujikinge na maradhi haya ya fungus na bacteria, kama sio mpenzi was soksi nashauri ufikirie tena maamuzi yako ya kutovaa soksi.

2.EPUKA HARUFU MBAYA YA MIGUU
Image result for atletes foot
Kwa kweli hii ni kero kwako na wanaokuzunguka.Usipovaa soksi jasho lote la miguu litaenda kwenye viatu na ivo viatu kutoa harufu.Soksi hunyonya lile jasho na huzuia harufu iyo. Aya basi tushtuke aibu hii ya nini katika karne ya watanashati sisi.Tuvae soksi na kubadili kila siku.

3.LAINISHA NGOZI YA MIGUU YA YAKO
Nani hapendi miguu soft?? wadada kutwa kusugua miguu saloon.Simple ukirud nyumban kama sakafu ni ngumu vaa soksi zako nyepesi safi miguu iwe laini.Baadhi ya viatu pia vina surface ngumu kwa chini (wakaka) ukiweka soksi zako safi hamna maneno.

4.KUPUNGUZA MAUMIVU MIGUUNI
Hii hasa kwa watoto wadogo ..tuwazoeze mapema kuvaa soksi.Mtoto anatembea ndani Mara akanyage maji mara vitu vya ncha Kali....Pia kuna viatu ukivaa bila soksi lazima upate maumivu na kupata zile sugu nyeusi.

5.KUPATA JOTO NYAKATI ZA BARIDI
Wale was mikoa iliyo na baridi kwa sasa naamini tuna soksi za kutosha za miguuni na mikono.Kama kuna sehemu inayongoza kutoa joto ni miguuni na mikononi.Basi vaa soksi ili kuzuia joto lisipotee.

6.MVUTO
Ili sio geni, mi mtu akivaa viatu bila soksi kwa kweli napunguza maksi za utanashati...wengine wanasema kuna viatu vya kutovaa soksi. .hakuna kitu kama icho kuna soksi ndogo ambazo hazionekani kwa juu zimejaa tele madukani tutafte.Ebu mtu kavaa kiatu chake safi akiweka na soksi safi inaonekana mvuto lazima uwepo....Nani hapendi kuvutia??basi sote tunapenda tuvae soksi

IMG_8738.jpg

mi niauza hizo za wapenda utanashati
 
Back
Top Bottom