Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahhaaa kweli kabisa ,, yaan your free soulKuna faida Nyingi za kuwa Single zifuatazo ni baadhi tu.
1:unalala kitanda chote mwenyewe unagalagala utakavyo.
2:unakula zako mwenyewe.
3:unajamba kwa uhuru ndani.
4:unanepa ukiamua kwa sababu No stress.
Hasara kubwa ni kwamba
neno bby unalisikia kwenye movie hasa za wazungu wakiwa na watoto.
Zero Iq

Exactlly Lady yani ni raha sanaSimu yako unaiacha popote tena bila lock
Hakuna kitu kizuri kama kuwa na familiaToa zako za mashiko boss tuzione boss