Faida za Majina ya Mungu yaliyotumika kuumba na kauli zenye nguvu na Maajabu yake ya hali ya juu

Kabla ya kuanza kusoma thread hii ifanyie Subscribe na kuifuatilia kila siku kuweza kuitambua vizuri elimu ya miujiza ya mungu na Maajabu ya dunia kwa ukaribu zaidi,


Hayo ni machache tu bado list inakuja na faida zake

Rakims
kabla ya kuijadili hoja yako lazima tujue umeiandika kwa Misingi ipi hasa?
Hoja yako imesimama katika msingi upi ?,
1.Msingi wa DINI (UKRISTO au UISLAM?)
2.Msingi wa HISTORIA?
3.Msingi wa SAYANSI?
4.Msingi wa SIASA?
 
Mkuu unaweza fanya upendeleo ukani PM japo majina machache? Tafadhali
Hapana mkuu, mimi hapa nakupa muongozo tu wewe yatafute utakapo yapata basi mwenyezi mungu kakupa, na waandishi wa vitabu hivi wanakwambia usitumie kwa yasiompendeza mungu na usimpe asiyekuwa na hekima either ataumia au kuumiza wengine

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kabla ya kuijadili hoja yako lazima tujue umeiandika kwa Misingi ipi hasa?
Hoja yako imesimama katika msingi upi ?,
1.Msingi wa DINI (UKRISTO au UISLAM?)
2.Msingi wa HISTORIA?
3.Msingi wa SAYANSI?
4.Msingi wa SIASA?
Hii sio hoja mkuu hoja zipo jukwaa la hoja na siasa nenda katafute huko hoja

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sio hoja mkuu hoja zipo jukwaa la hoja na siasa nenda katafute huko hoja

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
ok kumbe ni FICTION hadithi za kufikirika tu,nilitaka nimbane kwenye NUTSHELL mtoa hoja bahati umesema sio hoja ni tamthilia za kusadikika tu! then mnaweza kujadiliana makinikia yenu
 
Mkuu sio majina ya watu ni ya mwenyezi mungu na nguvu yaliyonazo,
...Mkuu Rakims, unaposema hayo majina sio ruhusa kuyaweka hadharani na hapa sio hadharani ni familia moja ya JF, huoni faida iliyotarajiwa kutokana na somo hili inakuwa haifikiwa?
Na je ruhusa ya kuyataja majina haya inatoka wapi?
Mimi kama mimi nikitaka kuyafamu ninamuomba nani ruksa??
Nitakushukuru kwa majibu mema...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ni mzinguaji.Analeta mada alafu anaficha baadhi ya mambo.
Hana lengo la kuelimisha zaidi ya kutaka maslahi flani flani hivi kupitia hayo majina.
Huenda ukimpatia mshiko au ukiendana na matakwa yake atakutajia.

Kaishia kuelezea dua za waliyoyatumia majina ya MUNGU MWENYEZI na zilivyopokelewa kwa heshima ya hayo majina alafu mwisho wa siku hataki kuyataja hayo majina.

Sioni jipya kwa mtoa mada na wala sijapata elimu yoyote hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Acha uganga.
 
Habari mkuu, kwanza kabisa nikutakie kufaidika katika kuyapata majina hayo lakini pia ni majina ambayo mimi ninaanza kukupa funguo kwamba kuna majina yapo hivi na yanatumika hivi sasa inabaki kazi kwako kuweza kuyapata na kuyatumia, hapa kwenye forum kuna watu tofauti tofauti believers na non believers sasa unapoweka vitu hivi hadharani inaweza kuwa na maana mbovu kwa majadiliano au kwa mawazo ya watu, ni sawa na wewe uwe msikitini kwa wanaume halafu aingie jike kavaa kimini, maana ipo wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri mkuu, ndio maana ni elimu ambayo huipata wachache sana miongoni mwetu,

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…