Faida za Majina ya Mungu yaliyotumika kuumba na kauli zenye nguvu na Maajabu yake ya hali ya juu

Faida za Majina ya Mungu yaliyotumika kuumba na kauli zenye nguvu na Maajabu yake ya hali ya juu

Vizuri mkuu, ndio maana ni elimu ambayo huipata wachache sana miongoni mwetu,

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lengo lako la kuweka huu Uzi si ili tupate elimu?
Sasa kwa Nini usiweke Kila kitu wazi ili tusiojua hayo majina tuyajue ili tuyatumie?
Na Kama Ni elimu ambayo huipata wachache ,kwa Nini huu Uzi umeuanzisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka rakim kuna mtu alinidokezea hayo majina akanambia
AHAMA-SAQIQ-ALA-YAS lakin sijamuelewa
Mkuu kwenye list ya majina hayo sijawahi kuona hayo uliyoyataka hapo, kwa maana yenyewe kwenye vitabu vya dini pia unayakuta yamo na kila linalotajwa unakuta lipo kwenye vitabu vya dini mkuu
 
Kaka rakim kuna mtu alinidokezea hayo majina akanambia
AHAMA-SAQIQ-ALA-YAS lakin sijamuelewa
Pia kuna wakati waislamu wakiwa wanaomba huwa wanatumia na wakristo huwa wanatumia kwa lugha ya kiizrael sifa na maana zinakuwa zile zile kasoro lugha tu mkuu
 
Mkuu endelea na hili darasa nahitaji kuyafahamu hayo majina!!au nikufuate P.M unitajie?
 
Na usidhan haho majina ulio yaficha yanafanya kazi easy inawezekan unayo lakin hayata kusaidia kituu na kina vigu vikubwa zaid ya hayo majina

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Hawezi kutoa ushahidi wa hii elimu anayoifundisha katika UISLAM.
Uko sahihi mkuu. Nahisi mtoa mada ni mganga wa kienyeji hasa wale wanaotumia vibaya kitabu cha Mwenyezi Mungu kufanya Shirk. Na hakika elimu aliyokuwa nayo itakuwa amepewa na hao anaofanya shirk nao (Mashetani)
 
Haya RAKIMS hayo yote umeyataka mwenyewee maada unaishia nyiani watu hawakuelewi( unayumbaa)
 
Uko sahihi mkuu. Nahisi mtoa mada ni mganga wa kienyeji hasa wale wanaotumia vibaya kitabu cha Mwenyezi Mungu kufanya Shirk. Na hakika elimu aliyokuwa nayo itakuwa amepewa na hao anaofanya shirk nao (Mashetani)
Nini maana ya Shirki kwa fahamu zako na elimu yako?
 
Kwa unafiki unaondelea humu mada nyingi nitaanza kuziremove kwa maana nafundisha wajinga asilimia kubwa wacha nianze na hii,

Rakims
 
Back
Top Bottom