Faida za Marekani katika dunia yetu

Faida za Marekani katika dunia yetu

PathwayzZote

Member
Joined
Jul 4, 2024
Posts
65
Reaction score
85
Ni kweli marekani imesababisha maafa na hasara katika angle mbalimbali za dunia na wote tunajua lakini pia kila nchi ina mazuri na mabaya yake hili hakuna wa kupinga

Sasa leo tuwape maua yao hawa marekani kwa gunduzi zilizofanywa kuisaidia dunia
Mimi nitaanza hapaa

1. Internet kagundua yeye leo hii tunaconnect bara kwa bara nchi kwa nchi
2. Personal computer PC
3. GPSS
4.Smartphone na OS (iOS, Android)
5.Uchunguzi wa Anga (NASA)
6.Mitandao ya Kijamii (Facebook, Twitter, YouTube)
7.Huduma za Mtandaoni (Cloud Computing)

haya mdau shuka na gunduzi za marekani wasiozijua wazijue
 
1. Magari
2. Ndege
3. Matumizi ya mafuta na gas
 
Hata hii huduma ya JF hupitia Marekani pia. Asilimia 70 ya huduma za intaneti duniani hupitia Marekani.

Kama upo Mahaha, Dumila, Sumve, na Biharamulo na unakunywa Coca Cola au Pepsi au vinywaji vingine vinavyotengenezwa na hayo makampuni, ishukuru Marekani.

Kama unapenda Bongo Fleva, Afrobeats, au Amapiano, basi ishukuru hip hop [iliyovumbuliwa na Foundational Black Americans] ambayo ina ushawishi mkubwa sana katika hizo tasnia.

Angalia tu jinsi wanamuziki wake wanavyovaa, swaga zao, namna waongeavyo, na utagundua kuwa Wamarekani weusi wana ushawishi mkubwa sana.

Hata mfumo wa uongozaji wa urais, ishukuriwe Marekani maana huko ndiko ulikoanzia.
 
sahihi
 
Marekani imejenga model ya nchi ambayo mtu yeyote anaweza kuwa yeyote, madaraja yapo ila hayaheshimiwi.

Si kama Uingereza au India ambako ukizaliwa tu unajulikana sehemu yako ni wapi na hutakiwi kuondoka hapo.
Fafanua
 
Back
Top Bottom