Faida za Marekani katika dunia yetu

Faida za Marekani katika dunia yetu

Ni kweli marekani imesababisha maafa na hasara katika angle mbalimbali za dunia na wote tunajua lakini pia kila nchi ina mazuri na mabaya yake hili hakuna wa kupinga

Sasa leo tuwape maua yao hawa marekani kwa gunduzi zilizofanywa kuisaidia dunia
Mimi nitaanza hapaa

1. Internet kagundua yeye leo hii tunaconnect bara kwa bara nchi kwa nchi
2. Personal computer PC
3. GPSS
4.Smartphone na OS (iOS, Android)
5.Uchunguzi wa Anga (NASA)
6.Mitandao ya Kijamii (Facebook, Twitter, YouTube)
7.Huduma za Mtandaoni (Cloud Computing)

haya mdau shuka na gunduzi za marekani wasiozijua wazijue
Hebu twende taratibu, uchunguzi wa anga si ugunduzi wa Marekani, na wala NASA si invention. Uchunguzi wa anga umeanza maelefu ya miaka.
Cloud computing japo wazo limetoka marekani, ila nchi kibao zimehusika ikiwemo Germany ambayo ilitengeneza miundombinu ya usalama wa data na kanuni za faragha.
Uingereza nayo imehusika katika teknolojia hii.
Ukija kuangalia kwa umakini, utagundua vitu huwa vinagunduliwa nchi fulani na kuendelezwa nchi mbalimbali.
Mfano, gari iligunduliwa Germany, lakini Henry Ford akaleta mapinduzi katika uzalishaji wa magari kwa wingi baada ya kutembelea kiwanda cha kuchinja ng'ombe.
China ndipo printing na karatasi imegunduliwa, lakini ni WAjerumani waliofanya mapinduzi katika printing.
Ni kama sasa hivi ambavyo china ina patents nyingi zaidi za 5G kuliko nchi yoyote.
 
Tumeaminishwa ubaguzi wa ngozi ulishakomeshwa huko.
Hapana mkuu. Hiki si jambo la kusema ni kama taa unaweza kuiwasha ikawa On au ukaizima ikawa Off, ni kitu kinatoweka ngazi kwa ngazi.
 
Mkuu lakini safari yake iko wazi kutoka kuanzia Zip2 corporation kuiuza, na kuwekeza kwingine.
Mkuu,

Hata alipoanzia tu alianza kwenye white privilege South Africa.

Ndiyo maana kafika hapo Elon Musk si Julius Malema.
 
Tumeaminishwa ubaguzi wa ngozi ulishakomeshwa huko.
Ubaguzi ni asili ya binadamu. Hivyo, upo sehemu zote ambako binadamu wapo.

Nenda India huko uone kama unaweza kuishi na kufanya shughuli zako mpaka uwe milionea au bilionea!

Watu hata wakiwa wa rangi moja, Sarasota tu sababu ya kubaguana.

Rwanda huko bado wanabaguana Ingawa ni kichinichini. Hata Nigeria vivyo hivyo.

Hata hapa hapa Tanzania vichembe vya ubaguzi vipo.

Marekani imepiga hatua kubwa sana katika kupambana na ubaguzi wa rangi, licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu ambao bado wanaiona Marekani kuwa ni nchi ya kibaguzi.
 
Mkuu,

Hata alipoanzia tu alianza kwenye white privilege South Africa.

Ndiyo maana kafika hapo Elon Musk si Julius Malema.
Inawezekana kweli mkuu hilo limechangia. Lakini kuna waafrika wanazaliwa kwenye familia zinazojiweza ila bado hawafiki kokote.
Kuna jambo moja naona linajadiliwa sana mtandaoni. Eti black Americans wana tatizo la kuwaita blacks ambao shuleni wako focused sana na masomo, hawajishughulishi na magang, hawazungumzi kile kiingereza cha mtaani kuwa ni whites katika ngozi nyeusi na eti baadhi ya wazazi nao hushiriki kuwasema watoto wenye tabia hiyo.
Mimi siishi Marekani ila nimekuwa nikifuatilia mijadara kadhaa tena ya blacks wenyewe ambao wanadai black culture now imekuwa misinterpreted kuwa kama lifestyle fulani ya hovyo na imeharibu vijana wengi kiasi kwamba kwa sas badala ya watu weusi kudeal na matatizo yao halisi wanawatuhumu wazungu kuwa wanapata upendeleo.
Mbona mtu mweusi kama David L. Steward ameweza kutengeneza pesa katika tech industry mkuu.
Mbona wahindi wamekuja marekani na wameishia kuwa ma CEO wa makampuni makubwa mkuu.
Mimi nadhani tatizo la mtu mweusi ni mtu mweusi mwenyewe kuliko hata hayo mengine. Nadhani tunachukuliwa poa kwa sababu hata mambo yetu ya ajabu ajabu tukiwa kwetu Afrika na hata ugenini.
 
Kwani Marekani hakuna Wamarekani weusi walio na mafanikio?

Hakuna mabilionea weusi?

Na mafanikio si lazima uwe bilionea.
 
Wapo na mmoja nimemtaja hapo David L. Steward na nimemtaja makusudi kwa sababu yuko kwenye tasnia ya IT.
Wapo Wamarekani weusi wengi tu wenye mafanikio kwenye nyanja mbalimbali.

Sijui watu wengine wako wapi, ila mimi kila siku nakutana nao wengi tu.

Madaktari, mawakili, wanasayansi, wafanyabiashara, watumishi wa umma, nk.
 
Inawezekana kweli mkuu hilo limechangia. Lakini kuna waafrika wanazaliwa kwenye familia zinazojiweza ila bado hawafiki kokote.
Kuna jambo moja naona linajadiliwa sana mtandaoni. Eti black Americans wana tatizo la kuwaita blacks ambao shuleni wako focused sana na masomo, hawajishughulishi na magang, hawazungumzi kile kiingereza cha mtaani kuwa ni whites katika ngozi nyeusi na eti baadhi ya wazazi nao hushiriki kuwasema watoto wenye tabia hiyo.
Mimi siishi Marekani ila nimekuwa nikifuatilia mijadara kadhaa tena ya blacks wenyewe ambao wanadai black culture now imekuwa misinterpreted kuwa kama lifestyle fulani ya hovyo na imeharibu vijana wengi kiasi kwamba kwa sas badala ya watu weusi kudeal na matatizo yao halisi wanawatuhumu wazungu kuwa wanapata upendeleo.
Mbona mtu mweusi kama David L. Steward ameweza kutengeneza pesa katika tech industry mkuu.
Mbona wahindi wamekuja marekani na wameishia kuwa ma CEO wa makampuni makubwa mkuu.
Mimi nadhani tatizo la mtu mweusi ni mtu mweusi mwenyewe kuliko hata hayo mengine. Nadhani tunachukuliwa poa kwa sababu hata mambo yetu ya ajabu ajabu tukiwa kwetu Afrika na hata ugenini.
Kuna false dichotomies nyingi hapa.

Marekani ina nafasi kwa watu wote, lakini pia ina ubaguzi.

Watoto wa Kimarekani kwa asilimia kubwa wanaacha kujishughulisha na mambo ya kusoma, wanataka kuwa wanamuziki, wanamichezo, youtubers, bila kujali rangi.

Ukweli kwamba kuna mabilionea weusi haumaanishi ubaguzi Marekani umekwisha.
 
Hebu twende taratibu, uchunguzi wa anga si ugunduzi wa Marekani, na wala NASA si invention. Uchunguzi wa anga umeanza maelefu ya miaka.
Cloud computing japo wazo limetoka marekani, ila nchi kibao zimehusika ikiwemo Germany ambayo ilitengeneza miundombinu ya usalama wa data na kanuni za faragha.
Uingereza nayo imehusika katika teknolojia hii.
Ukija kuangalia kwa umakini, utagundua vitu huwa vinagunduliwa nchi fulani na kuendelezwa nchi mbalimbali.
Mfano, gari iligunduliwa Germany, lakini Henry Ford akaleta mapinduzi katika uzalishaji wa magari kwa wingi baada ya kutembelea kiwanda cha kuchinja ng'ombe.
China ndipo printing na karatasi imegunduliwa, lakini ni WAjerumani waliofanya mapinduzi katika printing.
Ni kama sasa hivi ambavyo china ina patents nyingi zaidi za 5G kuliko nchi yoyote.
Historia inatuambia watu wa misri walikuwa na chuo kikuu miaka mingi sana ..........wanaandika na kufuta sasa china katokea wapi tena??.........
 
Mashoga na
Ni kweli marekani imesababisha maafa na hasara katika angle mbalimbali za dunia na wote tunajua lakini pia kila nchi ina mazuri na mabaya yake hili hakuna wa kupinga

Sasa leo tuwape maua yao hawa marekani kwa gunduzi zilizofanywa kuisaidia dunia
Mimi nitaanza hapaa

1. Internet kagundua yeye leo hii tunaconnect bara kwa bara nchi kwa nchi
2. Personal computer PC
3. GPSS
4.Smartphone na OS (iOS, Android)
5.Uchunguzi wa Anga (NASA)
6.Mitandao ya Kijamii (Facebook, Twitter, YouTube)
7.Huduma za Mtandaoni (Cloud Computing)

haya mdau shuka na gunduzi za marekani wasiozijua wazijue
Wasagaji na mashoga nao wamegunduliwa huko huko ???
 
Mwaka 2000 ilisemekana computer zote duniani zitazimika.........kwa sababu ya software.................mwamba bill gate alikuja na Y2K mpaka leo imebaki historia .................huyo ni mmarekani kumbuka
 
Historia inatuambia watu wa misri walikuwa na chuo kikuu miaka mingi sana ..........wanaandika na kufuta sasa china katokea wapi tena??.........
Misri walikuwa wanachonga maandishi yao kwenye mbao, mawe sio kwenye karatasi. Mchina ndiye mgunduzi wa karatasi. Maandishi ya kale hayakuanzia kwenye karatasi
 
1. Magari
2. Ndege
3. Matumizi ya mafuta na gas
Ni kweli kiasi fulani,nasema kiasi kwa maana anafanya yote hayo kwq faida,ivo kuna element za unyonyaji ndani yake,,ndo maana na mchina anajaribu sana kutengeneza vyake na leo hii anarumbana sana na USA kwa sababu anagusa maslahi yake, USA anataka atawale soko ye peke yake,ubinafsi huu haifai.
 
Hebu twende taratibu, uchunguzi wa anga si ugunduzi wa Marekani, na wala NASA si invention. Uchunguzi wa anga umeanza maelefu ya miaka.
Cloud computing japo wazo limetoka marekani, ila nchi kibao zimehusika ikiwemo Germany ambayo ilitengeneza miundombinu ya usalama wa data na kanuni za faragha.
Uingereza nayo imehusika katika teknolojia hii.
Ukija kuangalia kwa umakini, utagundua vitu huwa vinagunduliwa nchi fulani na kuendelezwa nchi mbalimbali.
Mfano, gari iligunduliwa Germany, lakini Henry Ford akaleta mapinduzi katika uzalishaji wa magari kwa wingi baada ya kutembelea kiwanda cha kuchinja ng'ombe.
China ndipo printing na karatasi imegunduliwa, lakini ni WAjerumani waliofanya mapinduzi katika printing.
Ni kama sasa hivi ambavyo china ina patents nyingi zaidi za 5G kuliko nchi yoyote.
Ni sahihi mkuu iko hivo kitu chagunduliwa sehem flani na kuendelezwa sehemu fulani
Ila source ya ugunduzi itabaki kuwa palepale
 
Ubaguzi ni asili ya binadamu. Hivyo, upo sehemu zote ambako binadamu wapo.

Nenda India huko uone kama unaweza kuishi na kufanya shughuli zako mpaka uwe milionea au bilionea!

Watu hata wakiwa wa rangi moja, Sarasota tu sababu ya kubaguana.

Rwanda huko bado wanabaguana Ingawa ni kichinichini. Hata Nigeria vivyo hivyo.

Hata hapa hapa Tanzania vichembe vya ubaguzi vipo.

Marekani imepiga hatua kubwa sana katika kupambana na ubaguzi wa rangi, licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu ambao bado wanaiona Marekani kuwa ni nchi ya kibaguzi.
Uko sahihi kabisa ase
 
Back
Top Bottom