Faida za Maziwa ya mbuzi

Faida za Maziwa ya mbuzi

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
2,926
Reaction score
3,530
maziwa ya mbuzi ni bora kuliko ya ngo'mbe na

Hizi ni faida mhimu za Maziwa ya mbuzi hata (kupunguza uzito)

maziwa ya mbuzi yana faida kibao mwilini lakini kubwa ni hii ya kupunguza mwili. Hivi ndio maziwa haya yanavyoweza kukupunguza na ukapendeza.
Maziwa ya mbuzi yanasaidia kwasababu yana uwezo wa kuyeyusha chakula mwilini yaani kufanya mmengenyo ambao husaidia kwa kiasi kukibwa.
Kwa wale wenye matatizo ya kujaa gesi na vidonda vya tumbo pia wanashauriwa kunywa maziwa haya mara moja kwa siku kama tiba.
Maziwa haya pia yanatibu ugonjwa wa kupungua kwa damu mwilini ‘Anemia’ kwasababu yana madini ya chuma mengi na copper

Yanahimarisha mifupa
Maziwa haya pia yanatajwa kuhimarisha mifupa kwani yana wingi wa Calcium na amino acid tryptophan, madini yote haya yana uwezo wa kuhimarisha mifupa kwa ujumla.
Maziwa haya yana uwezo wa kuupa mwili kinga ya magonjwa mbalimbali, kwa kunywa maziwa haya mwili wako unakuwa na nguvu ya kutosha.
 
Back
Top Bottom