Faida za Nguruwe kwa masuala ya Tiba.

Faida za Nguruwe kwa masuala ya Tiba.

Kuna kitu nilikiona RT kuhusu hawa wanyama kusaidia maradhi ya ubongo kama cancer na vingine muhimu sana ila sikutilia maanani
 
kitu mbuzi katoliki na faida zake ila vipi kuhusu hasara zake
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ngozi ya nguruwe hutumika kutengeneza layers za capsules kama vile amoxicilin
 
Hata akiongeza nguvu za kiume,sitokuja kumtia tumboni.😎😎😎
 
Zaidi ya 65% ya mboga inayoliwa duniani ni kitimoto China ikizalisha zaidi ya 75% ya nguruwe duniani.
 
1. Nyuzi za kushonea wanadamu hutengenezwa kutoka Nyama ya Ngozi ya huyu mnyama.

2. Insulin ya kuwatibu wagonjwa wa kisukari hutoka kwa hawa wanyama.

# PIGS SAVE LIVES
Alafu nyama yake ukiichemsha ukaila hivyo hivyo inasaidia sana kwa wale wenye vidonda vya tumbo
 
kama ushawahi kunywa amoxilin basi anza kula tu na nguruwe mzee
.... huwa wanajifanya kurukaruka lakini wanakuja kumla kwa njia nyingine kwa kupenda au kutokupenda.
 
Back
Top Bottom