Faida za Nguruwe kwa masuala ya Tiba.

Faida za Nguruwe kwa masuala ya Tiba.

VP kwa ss swala tano tunaruhusiwa kutumia hizo nyuzi au ni haram.
1. Nyuzi za kushonea wanadamu hutengenezwa kutoka Nyama ya Ngozi ya huyu mnyama.

2. Insulin ya kuwatibu wagonjwa wa kisukari hutoka kwa hawa wanyama.

# PIGS SAVE LIVES
 
Wanatengeza pia flu vaccine ila nyuzi za kushonea hata matumbo ya samaki yanatumika. Kuna samaki wako Lake Victoria matumbo yao ni ghali sana
 
Kitimoto kwa wengine ni
~mlo
~tiba
~mdudu
~rasilimali
~haramu
~mkuu wa meza

na kule kwetu ni ndafu
 
1. Nyuzi za kushonea wanadamu hutengenezwa kutoka Nyama ya Ngozi ya huyu mnyama.

2. Insulin ya kuwatibu wagonjwa wa kisukari hutoka kwa hawa wanyama.

# PIGS SAVE LIVES
Acha masihara mkuu manake na wenzetu waisilam nao wanashonwa na nyuzi zinazotokana na huyu mbuzi kartoriki ?
 
kingine ni kuwa kitimoto anashabihana sana na binadamu kwenye hivi:
1.Wote ni omnivores
2.Metabolism yao ipo sawa
3.wote ni watamu mno
4.Miili yao ikifa inawahi kuharibika kuliko wanyama wengi....kila nikichinja kitimoto ikifika saa kumi nikibaki na nyama naanza kusikia harufu
 
nyama yake husaidia mtu kunenepa kwa haraka & kwa muda mfupi..
hasa akiwa anashushia & masanga
 
1. Nyuzi za kushonea wanadamu hutengenezwa kutoka Nyama ya Ngozi ya huyu mnyama.

2. Insulin ya kuwatibu wagonjwa wa kisukari hutoka kwa hawa wanyama.

# PIGS SAVE LIVES
Adumu kitimoto
 
Back
Top Bottom