1. Nyuzi za kushonea wanadamu hutengenezwa kutoka Nyama ya Ngozi ya huyu mnyama.
2. Insulin ya kuwatibu wagonjwa wa kisukari hutoka kwa hawa wanyama.
# PIGS SAVE LIVES
Acha masihara mkuu manake na wenzetu waisilam nao wanashonwa na nyuzi zinazotokana na huyu mbuzi kartoriki ?1. Nyuzi za kushonea wanadamu hutengenezwa kutoka Nyama ya Ngozi ya huyu mnyama.
2. Insulin ya kuwatibu wagonjwa wa kisukari hutoka kwa hawa wanyama.
# PIGS SAVE LIVES
Wanatengeza pia flu vaccine ila nyuzi za kushonea hata matumbo ya samaki yanatumika. Kuna samaki wako Lake Victoria matumbo yao ni ghali sana
Wrrong1. Nyuzi za kushonea wanadamu hutengenezwa kutoka Nyama ya Ngozi ya huyu mnyama.
Adumu kitimoto1. Nyuzi za kushonea wanadamu hutengenezwa kutoka Nyama ya Ngozi ya huyu mnyama.
2. Insulin ya kuwatibu wagonjwa wa kisukari hutoka kwa hawa wanyama.
# PIGS SAVE LIVES