maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
habarini wakuu, leo nimeona nizungumzie faida 3 za punyeto ili niwatoe hofu wanachama wezangu wa "chaputa" kutokana na uongo tupandikizwao kwamba punyeto ina madhara, niende moja kwa moja kwene hoja
moja: punyeto haina madhara nnanosema haina madhara namaanisha huwezi kuambukiza au kuambukizwa gonjwa lolote la zinaa koo ni ngono salama
pili: haina Gharama yaani huitaji kua na pesa nyingi ili kujifikisha ni sabuni yako Tu ilobaki wakati unaoga au baby care yako.
tatu: haipotezi mda namaanisha pindi utapohiitaji inapatikana ni wewe tu na utayari wako
NB: tuache kufatilia takwimu zisizo na utafiti, eti punyeto inapunguza nguvu za kiume,we Kama nguvu za kiume huna huna tuu wala sio kwa sababu ya punyeto we unakunywa Chai chapati mbili,mchana chips usiku chip's afu hufanyi mazoezi nguvu utazitoa wapi?