Faida za punyeto

Faida za punyeto

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
habarini wakuu, leo nimeona nizungumzie faida 3 za punyeto ili niwatoe hofu wanachama wezangu wa "chaputa" kutokana na uongo tupandikizwao kwamba punyeto ina madhara, niende moja kwa moja kwene hoja

moja: punyeto haina madhara nnanosema haina madhara namaanisha huwezi kuambukiza au kuambukizwa gonjwa lolote la zinaa koo ni ngono salama

pili: haina Gharama yaani huitaji kua na pesa nyingi ili kujifikisha ni sabuni yako Tu ilobaki wakati unaoga au baby care yako.

tatu: haipotezi mda namaanisha pindi utapohiitaji inapatikana ni wewe tu na utayari wako

NB: tuache kufatilia takwimu zisizo na utafiti, eti punyeto inapunguza nguvu za kiume,we Kama nguvu za kiume huna huna tuu wala sio kwa sababu ya punyeto we unakunywa Chai chapati mbili,mchana chips usiku chip's afu hufanyi mazoezi nguvu utazitoa wapi?
 
Ngoja nipige kimoja ndo nije nitoe ufafanuzi[emoji3] [emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajikadiria kulingana na ukubwa wa uume wako afu haina kudhalilishana Mara ana kibamia sijui, na haiitaji ufundi
 
Back
Top Bottom