Faida za Qisti 30

Faida za Qisti 30

Qist unatumiaje kuondoa sumu mwilini?
Kipimo vikombe viwili vya kahawa size ya kati kabla ya kula kimoja kwenye maji ya uvuguvugu asubuhi. Lakini ni vema ukaichanganya na sanamaki ya unga.

Rakims
 
Rakims Kumbe Bado Upo kiongozi?
Umepotea San
 
Kipimo vikombe viwili vya kahawa size ya kati kabla ya kula kimoja kwenye maji ya uvuguvugu asubuhi. Lakini ni vema ukaichanganya na sanamaki ya unga.

Rakims
Samahani Rakims, hii ndio qist al hindi?? Niliambiwa ni fusho la watu wa nyota ya nge je ni kweli?
 
Back
Top Bottom