Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwa nini wanawake wengi wa kitanzania
wanafikiri sex ni kwa ajili ya kumfurahisha
mwanaume,kama vile haina faida yeyote kwao???
Mara nyingine utasikia mwanamke anamnyima sex
mpenzi wake kama njia yakumkomoa why???
Kuna faida nyingi kwa mwanamke anapofanya sex
mara kwa mara hizi ni baadhi tu
1.ngozi inakuwa nzuri na laini.
2.nywele zinakuwa nzuri na zina shine.
3.unapata usingizi mzuri..
4.unapata hamu ya kula vizuri..
5.unaondoa stress kichwani.
6.unaongeza confidence ...na self esteem
7.unapata amani ya moyo...
8.unapunguza kasi ya kuzeeka...
9.unapunguza kisirani kwa ujumla..
10.........etc, etc.

Aisee bosi, sijui ulikuwa unafikiria nini kuanzisha hii mada... nimeichelewa lakini nimeipenda
kwenye mahaba ndio only stress free JF forum
😀
Nyie wote bata na boss hamna maana.Mnalumbana mambo ya ajabu kama watoto.
aende zake huyo pentium 4....sisi si wale tunaongea vitu ambavo havitekelezeki!!!
we are IN DEED GREAT THINKERS!!! we are more prwactically here!!!
hivi kama unaona hapa hapakufai kwa nini unaingia jamani majukwaa yamejaa JF ...nini maana ya mapenzi ,mahusiano na urafiki ..kumbe wewe ulitaka aongelee upandaji wa maua ,siasa na uchumi au nini katika jukwaa hili
Unataka mtu akutukane afungiwe basi ufurahi, The Boss mpotezee huyu wala usijibizane nae, ukiona mwanamke anapinga ngono aliwahi kubakwa na mateja.
na kweli umeichelewa!!! afu msisitizo uloonesha kwenye red MTM nimeupenda
Binafsi naweza kushuhudia kuwa hakuna kitu kitamu kama ngono duniani, sijawahi kukutana nacho. Lakini pia naweza kushuhudia kuwa, kibao kikigeuka kubaya, hakuna kitu kinachoweza kukosesha amani kama ngono. The line is so thin.
we have a lot in common,thats why we should get married.
kakazwe binti mrembo wewe.
wewe TEGU kweli....hiii machine ingine babu.....
Ushagaragaza personality yako kwenye mavumbi.Jifunze jinsi ya kutumia maneno hasa kwa watu usiowajua.
Hahaaa, nilimaanisha its the stress-free forum ndani ya JF