Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Faida za tendo la ndoa kiafya
Post hii inawahusu wanandoa tu..
-Kunapunguza hasira na ufanisi kazini
Dada olewa sasa si unaona raha ya ndoa??utaacha UZINZI lini?? Wewe huchoki kulala pekee yako kama PANGA??
Asili huponya
Post hii inawahusu wanandoa tu..
- Kufanya sex kunasaidia kuzuia saratani ya kizazi.
- Kufanya sex kunazuia kuziba kwa mirija.
- Kufanya sex kunapunguza mafuta mwilini.
- Kufanya sex kunapunguza calories.
- Kufanya sex kunapendezesha ngozi kwani mishindo 2 ni sawa na kukimbia umbali wa .0.6km za urefu.
- Kufanya sex kunachochea usingizi.
-Kunapunguza hasira na ufanisi kazini
Dada olewa sasa si unaona raha ya ndoa??utaacha UZINZI lini?? Wewe huchoki kulala pekee yako kama PANGA??
Asili huponya