Hao maX walikuwa wanakuibia ndomana hawakukwambia Ukweli ila huyo wa sasa ndo anakupenda kweli anataka GAME yakumtosheleza sio Kumletea miGUVU km KULI..? ckia ndugu kila Mwanamke anasehemu yake yenye Utam naniwachache sn wanaosema Wengine wanakuacha uitafute mwenyewe Km huijui ndo hivyo unaishia kujitapa kuwa Makini MZIGO utabebwa huo shauri yako...!!
Mkuu Majigo Mpenzi wako wa kike kakuona humridhishi kitandani unafika haraka kileleni wakati yeye bao hajamaliza raha yake kakupa ushauri utumie juisi ya ukwaju kwa sababu ina Vitamin b ni nzuri kwa kuongeza nguvu za kiume. Angalia faida zake juisi ya Ukwaju soma hapa
mwambie atumie mlenda
Hapo sasa! Basi wewe na huyu mama ukwaju hamna "sexual compatibility" (frequency, energy na style). Endelea kutafuta mpaka upate mnaeendana kama x. Au kama vipi kunywa tu hizo juisi.
Pafomanc yako ilikua chin ya kiwango
yaan mnaleta utani hadi kwenye jukwaa serious?
Bora umeliambia hili dogo maana bishi kweli utafikiri Wamb...u.......r......a!
nipeni dawa ya nguvu za kike,inatakiwa aanze dozi mara moja!
wewe kanywe juice a ukwaju kama ulivoshauliwa mkuu.
Ubaya ni kwamba umeomba kushauriwa lkn unabisha tena. Inashangaza unavyojipalilia. Sasa usitafute ujiko wa kumshambulia mtu ambaye hawezi kujitetea humu jf. La sivyo mlete hapa kwny jukwaa tumsikie na yeye. Unatukera bana!
kweli kilakibaka na chochoro zake...huyu ataniua bure jamani, bora niondoe majeshi
au unasemaje dolevaby..?
Umenena anafikiri kukaa dk 45 ndio kuridhisha,wanawake wametofautiana.sasa anajisifia tu.
Ha ha ha haaaa...! Unaona sasa kiherehere chote chakuvamia miGOMA kimekuisha hadi unaomba Poo...! wee komaa2 Askari hutakiwi kukimbia VITA sasa ili ackutangaze fanya uwezavyo hadi atosheke japo 1day then ndo labda ufikirie kukimbia manake hadi hapo utakuwa HOI....!
Ubaya ni kwamba umeomba kushauriwa lkn unabisha tena. Inashangaza unavyojipalilia. Sasa usitafute ujiko wa kumshambulia mtu ambaye hawezi kujitetea humu jf. La sivyo mlete hapa kwny jukwaa tumsikie na yeye. Unatukera bana!