Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu unaposema uko fiti ni kwa maana ya kwamba huwa unatoa lita nyingi au hudumu mchezoni kwa mda mrefu
ila mkuu itakuwa huyo mamito anakupenda sana mpaka anakuelekeza cha kufanya pasipo shida dah.... unabahati sana aisee
piga 0713
Mkuu una nguvu za mieleka sio za kumfanya mdada akafanyika ndo maana kakwambia hivo, inakubidi ule mrenda kwa sana
Ndomana humfikishi. Kuna tofauti kubwa kati ya nguvu za kawaida kama hizo unazotambia...na nguvu za mjomba.
Ni bora kakwambia ukweli. Badilika
basi kunyweni wote jusisi ya ukwaju! alah..mkuu mbishi wewe!!!
Unaweza ukajiona unatoa risasi kumbe unatoa maganda ya risasi hahahahhaah. Kumfikisha mwanamke yataka ubunifu na ufundi. Wacha kumoaka jasho mwenzio
Poleeeeeeee
Ma ex wako walikufichia siri na ndo maana walisepa ila huyu muungwana kakueleza ukweli. Inawezekana unakaa dakika 45 ila amekubana tu wewe unajisifia tu. Pole kaka tafuta hiyo juisi
Muulize huyu mtu ndg@Mzizimkavu
Inaongeza sana CD4!!!! Mmepima??
Yupo tofauti
lkn ma-x wanalisotea penz langu na kusema hakuna anayewakuna kama walivyokuwa kwangu
ahsante kwa ushauri wako kiongozi
Mentor nimekuelewa kiongozi
nitazingatia ushaur wako,ahsante sana
lkn ikumbukwe mimi ni mmoja kati ya watoa somo kwa wenye matatizo ya kusex humu, na wengi wamefaidika kwa elimu ninayowapa!!
mazoezi kwangu ni kila siku, natoka kifuani kwake mpaka zipite dk 45, kiufupi mi nimekamilika sekta zote, x wangu ananisakama mpaka leo... anasema hakuna kidume kama mimi
Mkuu Majigo Mpenzi wako wa kike kakuona humridhishi kitandani unafika haraka kileleni wakati yeye bao hajamaliza raha yake kakupa ushauri utumie juisi ya ukwaju kwa sababu ina Vitamin b ni nzuri kwa kuongeza nguvu za kiume.sababu ya kuniambia hivyo hataki kunieleza,
ila kasema sijamridhisha!
Kwa yeyote anayejua kazi ya hii jusi aniambie tafadhari...mdau wenu niko confused!!