Faida za tunda la ukwaju

Faida za tunda la ukwaju

Mkuu una nguvu za mieleka sio za kumfanya mdada akafanyika ndo maana kakwambia hivo, inakubidi ule mrenda kwa sana

haina shida nitajaribu japo kwa shingo upande, siamin kwa pafomans na mashambulizi yangu nitoke zero...yaani siamin!!
 
Ndomana humfikishi. Kuna tofauti kubwa kati ya nguvu za kawaida kama hizo unazotambia...na nguvu za mjomba.
Ni bora kakwambia ukweli. Badilika

lkn ma-x wanalisotea penz langu na kusema hakuna anayewakuna kama walivyokuwa kwangu
ahsante kwa ushauri wako kiongozi
 
basi kunyweni wote jusisi ya ukwaju! alah..mkuu mbishi wewe!!!

Mentor nimekuelewa kiongozi
nitazingatia ushaur wako,ahsante sana
lkn ikumbukwe mimi ni mmoja kati ya watoa somo kwa wenye matatizo ya kusex humu, na wengi wamefaidika kwa elimu ninayowapa!!
 
Last edited by a moderator:
Unaweza ukajiona unatoa risasi kumbe unatoa maganda ya risasi hahahahhaah. Kumfikisha mwanamke yataka ubunifu na ufundi. Wacha kumoaka jasho mwenzio
Poleeeeeeee

maneno yako yananipa machungu ya kukumbuka eneo la tukio!...kumbe nampaka jasho bure?
Ahsnte kiongozi
 
Ma ex wako walikufichia siri na ndo maana walisepa ila huyu muungwana kakueleza ukweli. Inawezekana unakaa dakika 45 ila amekubana tu wewe unajisifia tu. Pole kaka tafuta hiyo juisi

kweli hili tatizo..hii juise nishushie na kitu gani na kwa mda gani ili nikamilishe dozi?
Ahsante kiongozi,ila mi ndie niliwabwaga ma-x na bado wanalisotea penzi langu!
 
Unataka iwe mada kesi akuue. Shauri yako. Kama utaendelea kuitafuta nitakupa ila sitampelekea uji la azizi akiwa kama mme wa Flra Mbasha (Bofya)

teh teh teh...mkuu yamekuwa ya MBASHA tena?
Nidokeze ni dawa gan mkuu?
 
lkn ma-x wanalisotea penz langu na kusema hakuna anayewakuna kama walivyokuwa kwangu
ahsante kwa ushauri wako kiongozi

Hao maX walikuwa wanakuibia ndomana hawakukwambia Ukweli ila huyo wa sasa ndo anakupenda kweli anataka GAME yakumtosheleza sio Kumletea miGUVU km KULI..? ckia ndugu kila Mwanamke anasehemu yake yenye Utam naniwachache sn wanaosema Wengine wanakuacha uitafute mwenyewe Km huijui ndo hivyo unaishia kujitapa kuwa Makini MZIGO utabebwa huo shauri yako...!!
 
Mentor nimekuelewa kiongozi
nitazingatia ushaur wako,ahsante sana
lkn ikumbukwe mimi ni mmoja kati ya watoa somo kwa wenye matatizo ya kusex humu, na wengi wamefaidika kwa elimu ninayowapa!!

Mkuu inawezekana ni Kweli bt km umekariri Formula uctegemee kupata matokeo Tofauti...!!
 
Last edited by a moderator:
mazoezi kwangu ni kila siku, natoka kifuani kwake mpaka zipite dk 45, kiufupi mi nimekamilika sekta zote, x wangu ananisakama mpaka leo... anasema hakuna kidume kama mimi

Hapo sasa! Basi wewe na huyu mama ukwaju hamna "sexual compatibility" (frequency, energy na style). Endelea kutafuta mpaka upate mnaeendana kama x. Au kama vipi kunywa tu hizo juisi.
 
sababu ya kuniambia hivyo hataki kunieleza,
ila kasema sijamridhisha!
Kwa yeyote anayejua kazi ya hii jusi aniambie tafadhari...mdau wenu niko confused!!
Mkuu Majigo Mpenzi wako wa kike kakuona humridhishi kitandani unafika haraka kileleni wakati yeye bao hajamaliza raha yake kakupa ushauri utumie juisi ya ukwaju kwa sababu ina Vitamin b ni nzuri kwa kuongeza nguvu za kiume.

FAIDA ZA JUISI YA UKWAJU


NAMNA YA KUTENGENEZA JUISI YA UKWAJU.

Nunua ukwaju wako, ukwaju unapatikana kwa wingi sana masokoni na kwenye supermarkets. Andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni uache uchemke kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu

Ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyewe

Weka sukari kwa kiasi unachopendelea pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki au vanila ili kupata taste weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa.


FAIDA YA JUISI YA UKWAJU.

Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)

Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"

Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo

Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni

Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa

Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders)

Husaidia kurahisisha choo (laxative)

Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo

Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda

Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)

Mimi ninakupa Ushauri wangu ukitaka usifike kileleni mapema na uwe na nguvu ya kumfikisha mpenzi wako kileleni usile chakula masaa 6 kabla ya kufanya mapenzi na huyo mpenzi wako hutoweza kufika wewe kileleni mapema na utakuwa na nguvu za ajabu atashangaa mpenzi wako fanya uje unipe fedback.
 
Back
Top Bottom