Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,861
- 810
du mshauriwa mbishi huyooo. inaonekana mzinzi mwenzio ke yake kubwa sana, so hugusi maana zile nazo zipo tofauti ndugu. akiendelea kusema hivyo siku kunywa nyagi+nzanzi+supu ya pweza+korosho+ grants = goli kama la van persie. ataimba nyimbo za kwao za wakati wa kuvuna.
hapana Ukwaju kazi yake ni kukata UTELEZI yaani haina tofauti na Shabu
Nimekupa dawa yabure ukitaka dawa ya kuchelewa kufika kileleni ninayo ninauza kwa shillingi laki 1 na nusu nitafute kwa njia ya email baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.comdk wangu MziziMkavu ...dawa zako naziaminia ila kuna zingine unanichanganya!
nisile kitu si nitafia kifuani kwake jaman?
Ulinifunda nikafundika, mechi naiweza...kubanduka chini ya dk 45 ni mwiko kwangu,lakin hapa imekuwa kazi bure...yaan ni kama kuweka dustbin wodi ya vichaa!
huyo ni dokta wangu hata yeye atashangaa kuona huyu mtoto hakolei,kwa sababu MziziMkavu kanifunda vya kutosha!!
Ukwaju huo ukisagwa halafu utiwe pilipili mbuzi kidogo na chumvi ni chachandu safi sana kwa nyama choma au bajia, ukiutaka ntakutumia kwa DHL
Ukwaju huo bhana ,juice yake tamu sana...
Nimekupa dawa yabure ukitaka dawa ya kuchelewa kufika kileleni ninayo ninauza kwa shillingi laki 1 na nusu nitafute kwa njia ya email baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
Kumbe mkuu, hongera-use natura roots/fruits/leaves. Nimekuwa nikifuatilia sana analysis za@MziziMkavu kwa muda mrefu kweli huwa nazipenda sana . Nadahani atakuwa Herbal Doctor.
Inaongeza nguvu na akikueleza juu ya juis ya tende usikatae inaonekana nguvu zako kidogo mkuu fanya mazoezi walau mara tatu kwa wiki
Anza na ukwaju halafu umuulize mpenzi wako kama kuna mabadiliko.Kwani unataka juisi ya tende ili iweje?mkuu tende juisi yake inatengenezwaje?
Ahsante sana kiongozi!
uko sahihi kabisa, dawa zake zimenifanya niwe fiti kama salenda bridge
mjue mwanamke wako utajua jinsi ya kujiweka iyo pafoming yako iwe juuuuuuuuuuuuuuuukwan ili iwe juu, inatakiwa angalau niwe na vigezo gani mkuu?