Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faida za juice ya ukwaju.
Ni chanzo kizuri cha viuasumu mwilini
'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani
(cancer)
2Chanzo cha Vitamini B na C vile vile
"carotentes"
3 Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo.
4 Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni.
5 Husaidiamyeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa.
6 Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders).
7 Husaidia kurahisisha choo (laxative).
8 Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo.
9 Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda.
10 Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto
wadogo)NB: Ikiwa ukwaju na asali havikudhuru, basi changanya hivyo viwili ili kupata faida maradufu.
Asante sana mkuu Ameline...hakika umenifungua macho,hii juice naipenda lakini nilikuwa sijui faida yake.
Nashukuru pia kwa kukushukuru endelea kuitumia kwa afya bora ya familia yako
Acha uongo! Nimekula sana ukwaju na ubuyu hakuna faida niliyopata zaidi ya meno kufa ganzi...Faida za juice ya ukwaju.
Ni chanzo kizuri cha viuasumu mwilini
'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani
(cancer)
2Chanzo cha Vitamini B na C vile vile
"carotentes"
3 Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo.
4 Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni.
5 Husaidiamyeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa.
6 Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders).
7 Husaidia kurahisisha choo (laxative).
8 Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo.
9 Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda.
10 Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto
wadogo)NB: Ikiwa ukwaju na asali havikudhuru, basi changanya hivyo viwili ili kupata faida maradufu.
Hapo kwenye kiungo cha Mboga ni balaa na unanikumbusha Enzi za Miaka hiyo huko kijijini kwetu. Hii kitu ikiungwa kwenye samaki aina zote ambazo ni bado wabichi siyo wa kula Usha Nakwambia mchuzi wa hapo unaweza ukanywa sufurua zimaJuice ya ukwaju ni katika vinywaji asilia ambavyo ni muhimu sana hasa kwa watu wanaoishi mazingira ya joto. Sifa moja kubwa ya ukwaju ni kulainisha choo. Kumbuka mtu anapokuwa hapati choo vizuri anapata matatizo mengi sana ikiwemo kuumwa na kiuno, kungurumwa na tumbo. Kukosa hamu ya kula na baya zaidi husabisha upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume na kukosa hamu ya tendo la ndoa na kuchelewa au kushindwa kufika kileleni kwa mwanamke. Kwa hio unapotumia juice ya ukwaju mara kwa mara tatizo hili hupungua. Vile vile ukwaju unapoza mwili... Hivyo kuwa kinywaji murua nyakati za joto kali.Ukwaju ni kinywaji kizuri kwa watu wenye pressure ya kupanda (hypertension). Vile vile ukwaju ni chanzo kizuri cha vitamin C hivyo kuboresha kinga ya mwili dhidi ya maradhi. Hayo ni machache niliyofanikiwa kukuleteeni kuhusiana na ukwaju ambao mbali ya kutengenezwa juice pia hutumiwa kama kiungo cha mchuzi kutokana na umuhimu wake kwa mwanadamu. Wadau mnaoweza kuongezea kuchangia mnakaribishwa
Karibuni sana!