mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Halafu ukishakunywa mchuzi huo majibu utayapata usiku ukiwa kwenye sita kwa sita na mamaa.Hapo kwenye kiungo cha Mboga ni balaa na unanikumbusha Enzi za Miaka hiyo huko kijijini kwetu. Hii kitu ikiungwa kwenye samaki aina zote ambazo ni bado wabichi siyo wa kula Usha Nakwambia mchuzi wa hapo unaweza ukanywa sufurua zima

