Baada ya ziara ya Rais wa Zambia nchini Tanzania, Rais Haikinde Hichilema pamoja na Rais Samia Suluhu wamekubaliana kuboresha reli ya TAZARA yenye miaka 46 tangu kujengwa kwake.
Zifuatazo ni faida za maboresho ya reli hiyo:
Kupunguza gharama za kufanya biashara
Kuvuta wafanyabiashara wengi kuitumia reli hiyo
Kupunguza za usafirishaji wa bidhaa
Kupunguza mfumuko wa bei
Kuongezeka kwa mzunguko wa biashara kati ya Tanzania, Zambia na nchi nyingine.
Kwani kilichofanya matumizi ya hiyo reli kuachwa kutumiwa mmeshakiboresha? Maana naona mna plan vipya wakati challenges zilizofanya watumiaji kukimbia bado zipo!!