Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 204
- 231
Baada ya ziara ya Rais wa Zambia nchini Tanzania, Rais Haikinde Hichilema pamoja na Rais Samia Suluhu wamekubaliana kuboresha reli ya TAZARA yenye miaka 46 tangu kujengwa kwake.
Zifuatazo ni faida za maboresho ya reli hiyo:
Zifuatazo ni faida za maboresho ya reli hiyo:
- Kupunguza gharama za kufanya biashara
- Kuvuta wafanyabiashara wengi kuitumia reli hiyo
- Kupunguza za usafirishaji wa bidhaa
- Kupunguza mfumuko wa bei
- Kuongezeka kwa mzunguko wa biashara kati ya Tanzania, Zambia na nchi nyingine.