Ingekuwa ni kweli basi mnazi mmoja,kisutu ilala zingeota pilipili kila mtaa maana wahindi wanakula sana! Porini kuna nyanya zinaota, kuna tikiti zinaota, matango yanaota huwezi sema ni mtu kanya. Kwa sababu pilipili pori ni ya porini, tango pori halifanani na kulimwa, tikiti pori halifanani na ya kulimwa!
Kwanini mtu akimeza mbegu ya Hindi huota Hindi? Iweje kwenye pilipili mtu ale hoho halafu iote pilipili pori!? Kwenye mazao uoeteshaji mbegu upo Wa njia nyingi. Kuna upepo, kuna wachungaji mabaki ya vyakula, kuna ndege, kuna Maji ya mvua, kuna wanyama has a nyani n.k