African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Akili ya binadamu ina uwezo mkubwa wa kujifunza mambo, japokuwa kuna wanaoziruhusu akili zao kujifunza vitu vingi au fani nyingi.
Watu wengi hupendelea kujifunza fani moja, kisha wasiendelee kujifunza fani nyingine tofauti na fani waliyokuwa nayo awali. Hii ina faida zake na hasara zake. Pia kuna watu wanaopenda kujifunza fani nyingi. Hii pia ina faida zake na hasara zake
Binafsi, mimi ni mmoja ya watu ambao hawaridhiki na ujuzi mmoja bali hupenda kujifunza vitu vingi kadri iwezekanavyo. Mpaka sasa nina fani zaidi ya 10 kwenye field tatu tofauti.
Je, wewe mpaka sasa umejifunza fani ngapi ambazo unaweza kuzitumia kwenye kukuingizia kipato au kutatua changamoto kwenye jamii yako.
Tuambie ni faida zipi na hasara zipi anaweza kukumbana nazo mtu mwenye fani nyingi na mtu mwenye fani moja.