rmvicentrm
Senior Member
- Jan 8, 2016
- 147
- 26
Asante kwa ushauriChukua ufafanuzi....kajifunze kuuliza
Asante kwa jibu bestofmykindWanatoa mkopo, ila wana riba kubwa kupita kawaida. Ukichukua mil 1 kwa miaka 3 unalipa mil 1 na laki 9
Wanatoa mkopo kwa watumishi wa umma na watu wenye job security tu kwa maelezo yao. Ukienda ofisini kwao watakukadiria riba na utawapa vielelezo basi wanakupa mzigo. Nahisi riba yao inaongezeka kila mwaka.Asante kwa jibu bestofmykind
Riba kwa mwezi ni % ya mkopo
Taratibu za kupata mkopo zikoje.
Asante sana kwa majibu mazuri,Wanatoa mkopo kwa watumishi wa umma na watu wenye job security tu kwa maelezo yao. Ukienda ofisini kwao watakukadiria riba na utawapa vielelezo basi wanakupa mzigo. Nahisi riba yao inaongezeka kila mwaka.
1.9 millions with principal inclusionWanatoa mkopo, ila wana riba kubwa kupita kawaida. Ukichukua mil 1 kwa miaka 3 unalipa mil 1 na laki 9
Au riba pekee.1.9 millions with principal inclusion