Faidika/letsshengo xompany

Faidika/letsshengo xompany

rmvicentrm

Senior Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
147
Reaction score
26
Habari wanajukwaa, wanaoijua vizuri kampuni inayoitwa faidika au letshengo naomba ufafanuzi.
 
Wanatoa mkopo, ila wana riba kubwa kupita kawaida. Ukichukua mil 1 kwa miaka 3 unalipa mil 1 na laki 9
 
Wanatoa mkopo, ila wana riba kubwa kupita kawaida. Ukichukua mil 1 kwa miaka 3 unalipa mil 1 na laki 9
Asante kwa jibu bestofmykind
Riba kwa mwezi ni % ya mkopo
Taratibu za kupata mkopo zikoje.
 
Asante kwa jibu bestofmykind
Riba kwa mwezi ni % ya mkopo
Taratibu za kupata mkopo zikoje.
Wanatoa mkopo kwa watumishi wa umma na watu wenye job security tu kwa maelezo yao. Ukienda ofisini kwao watakukadiria riba na utawapa vielelezo basi wanakupa mzigo. Nahisi riba yao inaongezeka kila mwaka.
 
Asante sana kwa majibu mazuri,
Kwa uzoefu wako ni microfinance institute gani ina rate ndogo ya riba
 
Back
Top Bottom