Faidika mapesa ya bure

Faidika mapesa ya bure

Logo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
588
Reaction score
48
Kuna kijana mtaalamu sana wa masuala ya media anaweza kukingizia kipato cha juu sana hasa kama una radio ukimwajiri! Waajiri na wenye radio tuwasiliane ni mtaalamu sana wa ubunifu wa vipindi vya business, na aina yote ya vipindi vya radio ana uwezo mkubwa pia katika kutengeneza schedule mpya za radio. Kamata hii kijana isiponyoke! Anafanyakazi hizi:-
1. Presenter
2. Ana knowledge kubwa ya computer hadi huwa anazitengenza zenye matatizo ya kawaida.
3. Radio Production
4. Mwandishi wa Habari
5. Kusoma habari, kutangaza michezo hata live boll uwanjani
6. ana Public relation ya audience pia
7. Research
8. Video and TV production
9. Sound technician
10. Studio technician
11. Mtaalamu wa software za radio
12. Ni producer wa kurekodi kwaya wasanii binafsi nk
13. Ni mwalimu mwenye cheti cha Training kutoka International communication Training Institute UK.

Jamani yanatosha anayo mengi mno!​
 
Wilaya ya Ileje wamefungua redio na TV ila wamekosa mtaalam, namshauri aombe kazi huko
 
sasa kijana hapa unaomba kazi au? maana sifa ni nyingi hata waajiri wataogopa sasa au sanaa?
anyway.God will make a way for u if you depend on HIM
 
Niangushie contact baba!
 
Hujaeleweka unatafuta ajira au Contract kama consultant ? ningekushauri ufanye kazi kama Consultant utapata pesa nyingi na utakuwa huru kufanya kazi na wateja wengi. Ujuzi wako ni mkubwa waajiri watakuogopa ukiomba job you are overqualified to be employed.
 
Hujaeleweka unatafuta ajira au Contract kama consultant ? ningekushauri ufanye kazi kama Consultant utapata pesa nyingi na utakuwa huru kufanya kazi na wateja wengi. Ujuzi wako ni mkubwa waajiri watakuogopa ukiomba job you are overqualified to be employed.
aSANTE KWA USHAURI HUO! BASI HATA KWA CONTRACT NIPO MKUU KAMA KUNA DILL NIPO OPEN AND AVAILABLE
 
Back
Top Bottom