Faidika (mikopo) ipo sehemu gani kwa hapo mbeya??

Faidika (mikopo) ipo sehemu gani kwa hapo mbeya??

Nyrum

Senior Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
124
Reaction score
41
Habari wapendwa. Polen na majukumu ndug zangu. Shda yangu ni kuelekezwa FAIDIKA ipo maeneo gani hapo mkoani mbeya. Kwa anaejua, karibu, niPM
 
Hawa jamaa wa faidika wanakwama wapi?
Hawatoi balance za loan settlement
 
Kuwa makini na hizi microfinance institution ni wizi tu wanafanya
 
Back
Top Bottom