Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Hivi hili ulielewa kwenye post namba moja? :

"Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa nayanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu. "
Baada ya kuandika haya rejea post [HASHTAG]#1195[/HASHTAG]
 
ahsante kwa ufafanuzi mzuri faizafoxy nimeupenda je mfano nimeenda kununulia dubai kwenye usafirishaji kuja nayo Tanzania haiwezi kuwa na vikwazo vya hapa na pale kabla sijatake risk
 
ahsante kwa ufafanuzi mzuri faizafoxy nimeupenda je mfano nimeenda kununulia dubai kwenye usafirishaji kuja nayo Tanzania haiwezi kuwa na vikwazo vya hapa na pale kabla sijatake risk

Haina tatizo, sidhani kama Tanzania watakuwa wajinga kiasi cha kukukorofisha kuingiza utajiri nchini.
 
nyani ngabu...

hizi bombastics ni za kilatini nini??

naona bibi yetu zinampiga chenga hatari, kaenda kufungua kibubu chake cha misamiati lakini wapi!!!!

mkuu ngabu heshima kwako.......
Salaam.

Ulipoamka wewe mimi nilipapita kabla hujazaliwa. Kumbuka hilo.

Wewe hata "Gozi" linaloongelewa hapo huelewi ni nini halafu unakuja kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Gozi linalotajwa hapo ni nini? Nnaku-challenge hujuwi.
 
[QUOTE="FaizaFoxy, post: 18558184, member: 43551".

Unanionaje "behaviour" yangu? Wakati hapa unayoyaona ni maandiko tu.[/QUOTE]

Jiridhishe na maana ya 'behaviour' from Psychological point of view
 
[QUOTE="FaizaFoxy, post: 18558184, member: 43551".

Unanionaje "behaviour" yangu? Wakati hapa unayoyaona ni maandiko tu.

Jiridhishe na maana ya 'behaviour' from Psychological point of view[/QUOTE]

Haimaanishi chochote kwangu wala sina uwezo wa "kujiridhisha" na maana ya "behavior".

Jee, una swali lolote?
 
Jiridhishe na maana ya 'behaviour' from Psychological point of view

Haimaanishi chochote kwangu wala sina uwezo wa "kujiridhisha" na maana ya "behavior".

Jee, una swali lolote?[/QUOTE]
Ninalo, nilikuuliza hukunijibu, 'je kuna uhusiano wowote wa avatar yako na wewe mwenyewe?
 
Salaam.

Ulipoamka wewe mimi nilipapita kabla hujazaliwa. Kumbuka hilo.

Wewe hata "Gozi" linaloongelewa hapo huelewi ni nini halafu unakuja kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Gozi linalotajwa hapo ni nini? Nnaku-challenge hujuwi.
unataka nikupe maana ya "Gozi" ili upate cha kumjibu Ngabu???

hapana, nimeigundua janja yako.

leo Ngabu kakubamba, "kumbuka hilo".
 
unataka nikupe maana ya "Gozi" ili upate cha kumjibu Ngabu???

hapana, nimeigundua janja yako.

leo Ngabu kakubamba, kumbuka hilo.

Hata Ngabu akikusoma anachekea chooni maana hiyo maana ya Gozi kajifunza kwangu.

Humuhumu kwenye huu uzi pia kulikuwa na hint lakini sitegemei punguani yeyote kuielewa.
 
Hata Ngabu akikusoma anachekea chooni maana hiyo maana ya Gozi kajifunza kwangu.

Humuhumu kwenye hii nyuzi pia kulikuwa na hint lakini sitegemei punguani yeyote kuielewa.
sawa bibi,

kwahiyo Ngabu ni mwanafunzi wako???

halafu hiyo punguani vipi tena??? si tuelekezane taratibu bibi...... mbona una papara kama panya wa kike???

unaweza kunipa maana ya "Gozi"...
 
Kama ukijibiwa huelewi si kosa langu. Subiri wachangiaji wengine watakujibu.
siwezi kutoelewa ambacho hujajibu...... na kama sikuelewa ulichojibu ningesema hivyo.

nimeuliza swali ukaanza "kuhororoja na kubwabwaja bila mpango"!!!!

nimekuuliza...

"kwanini baadhi ya watu wanaichukia CCM".

Karibu..
 
Jibu lako lipo post namba 1281. Rudia kusoma labda utanielewa.
 
Nifanye nn ili niweze kupigwa ban jf?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…