Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Ukiielewa maana yake halafu ukijisoma utaelewa kuwa umejipinga:

Usta = wasta
Arab = Arabu.

Ustaarbu ni wasta wa Kiarabu. Unafahamu maana ya 'wasta"? Kama haufahamu, maana yake ni "influence".

Natumai darsa limekuingia.
Mashoga.
 
Vp hujawahi kupindisha... yan kutoa mzigo kwa jamaa mwingine nje ya ndoa? Au ulikua unamtunzia Babu yetu, I can imagine 44years sio mchezo bibi

Mzigo kwenye ndoa unahusiana nini?

Vipi mama'ko anajuwa mzigojwenye ndoa ni nini?
 
Unadhani Ni Nani msaliti kwenye Baraza la mawaziri na kwenye CC ya CCM?
Hakuna asiye msaliti na ndumila kuwili kwenye siasa. Tofauti ya msaliti na asiye msaliti kwenye siasa ni kushikwa kwa usaliti tu. Ukishikwa kwa usaliti ndiyo wewe huyo, ambae hajashikwa siyo yeye. Wanasiasa wote wanajijuwa na wote hawaminiani.

Siasa ni mchezo mchafu sana.
 
Back
Top Bottom